muuza ugoro
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 334
- 61
My personal experience,
Niliacha kazi sehemu flani nikachukua mpunga wangu wa NSSF. si pesa nyingi sana.
Nikatafuta fundi na ramani ya masta mbili, public toilet, dining, kitchen, sitting room na varanda.
Nikachukua TOFALI 2,000
Cement 50
nondo 12MM kama 200,000
mchanga lori 3 130,000 each
kokoto llori 1 250,000 (sijui nimepigwa?:disapointed
na mazaga mengine...
so far nyuma bado kufunga lenta ya juu. imenicost like 4M hivi.
My take; Ukiwa na nia tu ya kujenga dont calculate the total cost untill the house is over..YOU WILL BE DISCOURAGED and WILL NEVER BEGGING KUJENGA. now i save my every cent for my house na itaisha tu kwa hii displine niliyojifunza baada ya kuanza ujenzi.
Pia, usije ukajenga kwa kutumia chea cheap resources..utalia mbeleni.
funga nondo za kutosha kwenye msingi na lenta.