Mjadala: Elimu inayotolewa nchini inamjenga vipi kijana kupambana na changamoto zilizopo

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Huu uzi ni kwa ajili ya kupeana mawili matatu kuhusiana na elimu inayotolewa hapa nchini inamjenga vipi kijana kupambana na changamoto zilizopo mbele yake hususani swala la ufanisi katika utendaji wa kazi mbalimbali.

Karibuni waheshimiwa nina imani hapa kuna wanafunzi na watu ambao wapo katika system ya ajira hivyo tunatajiria kuelimika kwa namna moja ama nyingine.
 
Elimu ya tanzania..kwanza ni ya kujisikia..kujiona bora wkt hujafanya chochote cha maana..ukifaulu tu basi wengine wote vlaza...elimu ya makaratasi haiwezi kuwa elimu
 
Back
Top Bottom