Mjadala: Doctor of Medicine Vs Bachelor of Pharmacy

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,920
122,182
Miongoni mwa kozi zinazooneka kinara katika Sekta ya Afya ni hizi kozi mbili, Doctor of Medicine(MD) na Bachelor of Pharmacy(BPharm)

Je ni ipi kozi bora kuliko nyingine? Kwa nini?

Je ni ipi kozi ngumu kuliko nyingine? Kwa nini?

Je hizi kozi zinategemeana? Yaani mfano Daktari na Mfamasia wanategemeana? Kivipi?

Kimasilahi, ni ipi ipo juu kuliko nyingine? Kwa nini?

Tujadili kwa kuzichambua na kuzinyumbua ili kuweza kujibu maswali tofauti kwenye vichwa vyetu na pia iwe msaada kwa wote wanaotaka au wenye ndoto za kuwa Health care Professinals.
 
We siunaona hata muda wa kusoma hizo kozi unatofautiana then apo utajua ipi ngumu na yenye maslai zaid
 
Hivi mtu anayesoma Pharmacy naye anaitwa Doctor?Sorry mm ni mtu wa PCM.Kwangu naona zote zina umuhimu sawa kama unazingatia soko la kujiajiri.Madaktari wanahitajika kila pembe ya Dunia.Look it from that angle.Kozi yoyote ambayo unaweza kufanya kazi nje ya nchi kama expert is the best
 
MD na Bph ..wametofautiana kidogo kwenye malipo lakini MD yupo juu ya Pharmacy....faida ya pharmacy anaweza kutumia cheti chake akawa analipwa kila mwezi au kutokana na makubaliano(eg six month's) bt MD hakitumiki ...... Chet cha pharmacist kinatumika kusimamia maduka ya Pharmacy........cha msingi fwata ndoto zako mkuu...ila kwa kutegemeana wataalamu wa Afaya wote wanategemeana
 
Hivi mtu anayesoma Pharmacy naye anaitwa Doctor?Sorry mm ni mtu wa PCM.Kwangu naona zote zina umuhimu sawa kama unazingatia soko la kujiajiri.Madaktari wanahitajika kila pembe ya Dunia.Look it from that angle.Kozi yoyote ambayo unaweza kufanya kazi nje ya nchi kama expert is the best
MD..maana yake ni Doctor of Medicine na wengine Wanaita Bachelor of Medicine na Bph...maana yake ni Bachelor of pharmacy bt kuna baadhi ya nchi wao huita Doctor of pharmacy(lakini huwa ni five years) hata apa kwetu ilitaka ianzishwe pale UD lakini hawakufanikiwaa...
 
Asante.Vinachanganya sana hivi vitu
 
Hivi mtu anayesoma Pharmacy naye anaitwa Doctor?Sorry mm ni mtu wa PCM.Kwangu naona zote zina umuhimu sawa kama unazingatia soko la kujiajiri.Madaktari wanahitajika kila pembe ya Dunia.Look it from that angle.Kozi yoyote ambayo unaweza kufanya kazi nje ya nchi kama expert is the best
Pharmacist hawatumii Dr. Fulan wanatumia RPh. Fulan but they rarely use it kama wahandis wanavyotumia Eng.
 
Back
Top Bottom