Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,394
Nomba wataalamu mnitoe tongotongo, ikitokea basi la mkoa na pikipiki aina yeyote vikatembea speed moja ya 120km/hr na pasipo kizuizi cha aina yeyote njiani ( Take every thing is constant) .

KATI YA BASI NA PIKIPIKI NANI ATATANGULIA KUFIKA?

Naombeni wataalam mtusaidie hapa.

*******************************
Hints video!
 
Hii imenikumbusha miaka ya 90 mwalimu wetu aliingia darsani na kutuuliza "Mzigo wa Kg 3 za unga na mwingine wa Kg 3 za mchanga, upi ni mzito kuliko mwingine?"

Wote tuliosema ni Mchanga, tulicharazwa viboko. Wengine walipoona tunachapwa kwa kusema mchanga ni mzito nao wakasema ni Unga, nao walilambwa vivyo hivyo.

Kumbe zina ulingano sawa bhanah! Sisi kwa ujinga wetu wa wakati huo tuliamini mchanga ni mzito kutokana na nature yake.
 
Duh, yaani hadi kipindi hiki swali hili bado ni lugha gongana!!!!

Speed za vyombo vya moto kama gar,pikipiki,ndege n.k mara nyingi ziko kwa km/hr au mph

Speed ya 120km/hr ya pikipiki maana Yake, kwa mwendo huo pikipiki itatembea umbali wa 120 km kwa SAA moja, vilevile kwa scania mwendo wa 120km/hr inacover 120km kwa saa moja. Hivyo ni ngoma droo.

Kumbukeni kwa magari makubwa yana tairi kubwa,hivyo mzunguko wa tairi huwa mdogo kufikia speed flani wakati huo zile gari ndogo zenye tairi ndogo ,tairi zake huzunguka Mara nyingi zaidi kufikia speed ileile sawa na ya Gari kubwa.

Mwisho, ikumbukwe kuwa, ISO ni chombo ambacho wanaratibu mambo mengi saana kwenye Magari ikiwemo na speed meter

Note:
Kama speed za gari kubwa na ndogo zingekuwa tofauti,basi hata ma Trafic wa barabarani wangekuwa na speed tochi/camera mbilimbili (yaani ya Gari kubwa na gari ndogo)
 
Hii imenikumbusha miaka ya 90 mwalimu wetu aliingia darsani na kutuuliza
"Mzigo wa Kg 3 za unga na mwingine wa Kg 3 za mchanga, upi ni mzito kuliko mwingine?"

Wote tuliosema ni Mchanga,tulicharazwa viboko. Wengine walipoona tunachapwa kwa kusema mchanga ni mzito nao wakasema ni Unga,nao walilambwa vivyo hivyo.

Kumbe zina ulingano sawa bhanah! Sisi kwa ujinga wetu wa wakati huo tuliamini mchanga ni mzito kutokana na nature yake.
Mkuu, bora kama hamkuisoma namba peke yenu, kumbe na wale waliosema Unga ni mzito waliisoma! Kyakyakya hihihihiiii!!!
 
Duh, yaani hadi kipindi hiki swali hili bado ni lugha gongana!!!!

Speed za vyombo vya moto kama gar,pikipiki,ndege n.k mara nyingi ziko kwa km/hr au mph

Speed ya 120km/hr ya pikipiki maana Yake, kwa mwendo huo pikipiki itatembea umbali wa 120 km kwa SAA moja, vilevile kwa scania mwendo wa 120km/hr inacover 120km kwa saa moja. Hivyo ni ngoma droo.

Kumbukeni kwa magari makubwa yana tairi kubwa,hivyo mzunguko wa tairi huwa mdogo kufikia speed flani wakati huo zile gari ndogo zenye tairi ndogo ,tairi zake huzunguka Mara nyingi zaidi kufikia speed ileile sawa na ya Gari kubwa.

Mwisho, ikumbukwe kuwa, ISO ni chombo ambacho wanaratibu mambo mengi saana kwenye Magari ikiwemo na speed meter

Note:
Kama speed za gari kubwa na ndogo zingekuwa tofauti,basi hata ma Trafic wa barabarani wangekuwa na speed tochi/camera mbilimbili (yaani ya Gari kubwa na gari ndogo)
Afadhali maelezo yako nimeyaelewa vizuri
 
Yaani ni sawa na kuku ashindane na mbuzi hii miguu minne hii miwili yaani SCCANIA Kabisa nzima haina hitilafu wewe na kipikipiki chako utanikuta nyegezi nabet
Hahaaaa inaonyesha mkuu unapenda sana kubet, Leo Chelsea vs Spurs umempa nani?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
NAWE BINAFSI JIULIZE, UNAPOONGOZANA MKITEMBEA UMEMSHIKA MKONO MDOGO WAKO WA MIAKA 2 KWENDA DUKA JIRANI UKAMNUNULIE PIPI, NA KURUDI NYUMBANI MKIWA MMESHIKANA MIKONO HIVO HIVO, HUWA MNATEMBEA MWENDO(SPEED) SAWA?
Ndio tumetembea speed sawa Ila velocity tofauti
 
Back
Top Bottom