LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Mahela kufa this wk. Wezi wa kura hamna atakae baki salama.Rais kafia madarakani Tz firstly
Spika kujiuzulu
What next??
Mahela kufa this wk. Wezi wa kura hamna atakae baki salama.Rais kafia madarakani Tz firstly
Spika kujiuzulu
What next??
Rais kafia madarakani Tz firstly
Spika kujiuzulu
What next??
HATUA inayofuata sasa ni zamu ya Sirro kuondoka,na yeye atupishe tunasafisha "sukuma gang"Habari WanaJF,
Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo;
Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi?
Je, Naibu Spika anachukua madaraka Moja kwa Moja?
Karibuni Wajuvi
Sio dhaifu. Tatizo ni Ndugai kuropoka nje ya vikao vya bunge na kuhusisha na uchaguzi wa Rais. Bunge ni muhimili wenye nguvuBunge limeshajinasibisha kama muhimili dhaifu,anayeingia au anayetoka can no longer be a cause for concern...
Subiri uoneSasa kwa mwenendo huu hiyo katiba mpya nani atapaza sauti na bungeni wamejazana wa kijani tupu na ukithubutu kuongea unaporwa tonge mdomoni
Kasim majaliwaRais kafia madarakani Tz firstly
Spika kujiuzulu
What next??
Ngoja tuone kifuatacho ITVMbowe kashikwa na ugaidi. What next. Je marehemu Seif alikuwa kampiga risasi Lissu. What next. Mkuu umeandika kwa akili sana.
Lisemwalo lipoKasim majaliwa
Siyo mwepesi, nguvu ya Rais na Mkiti wa CCM ni kubwa mnoo, akiamua hakuna wa kubaki salama iwe CCM ama Upinzani! Ndugai Kwa kukaa kwake kwenye System analitambua hilo, na wanaCCM siku zote wapo upande wa Mkiti na Rais wao! Yule bwana aliyepo mahabusu na wenzake walichukulie hili kama funzo kwao, wanapoambiwa Rais ni taasisi waelewe, siyo kujiropokea tu na kumuita Rais majina ya ajabu ajabu
Ngoja tuone,maana mtori umeliwa nyama tumezikuta chini sasa,kama zimeiva au bado tutajua hukohuko.Ndiyo Mara ya kwanza speaker kujiuzulu Tanzania
Huyu maza sioMahela kufa this wk. Wezi wa kura hamna atakae baki salama.
Dah umeuaaa.... 😂😂😂Bunge limeshajinasibisha kama muhimili dhaifu,anayeingia au anayetoka can no longer be a cause for concern...
Shangazi hilo ni swali hama umeeleza?Ndiyo Mara ya kwanza speaker kujiuzulu Tanzania
"Cheza na kitu nyingine yoyote lakini sio Ndugai" by Jobo Yustino NdugaiLakn huyu si ndo alimuona mke wa yesu galilaya!!!!!!