Mjadala: Anaestahili kugharamia pesa ya kutolea ni mtumaji au mpokeaji?

Pesa ya kutolea anayestahili kughalamia ni yule anayetuma.

Assume nimekuomba elfu 10 au any amount...sasa ukituma that excatly amount of money basi kimsingi sitopata iyo amount intended.

Pia assume labda nakudai elfu 50, ukituma na yakutolea basi inakua freshiiiii napata 50 yangu net.

Okay...fanya basi mimi ni mwanao, inabidi utume nauli maana nasoma ukooooo Naliendele ndani ndani nije home shule imefungwa. Tuma na yakutolea basi ili nipate nauli kamili na niweze kufika home.

Hayo ni mawazo yangu tu...mawazo tu na si JIWE GIZANI.

Melvine
 
Hili jambo linategemea namna mlivyopeana hela.

Kama mlipeana mkono kwa mkono cash, lipaneni pia mkono kwa mkono cash. Ikishindikana tuma na ya kutolea ili mwenzio akatoe hela yake kamili.

Kama ulitumiwa kwenye simu, tuma pia kiasi ulichotumia ama chenye na ya kutolea au la kutokana na mtumaji wa mwanzo alivyotuma.
 
Binafsi nishajizoesha ustaarabu wa kutuma na ya kutolea
Sipendi upande wa pili apate fedha chini ya ile tuliyokubaliana..naona ni kama dhuluma
labda tuwe tumekubaliaba nimtumie 'net'
 
Hili jambo linategemea namna mlivyopeana hela.

Kama mlipeana mkono kwa mkono cash, lipaneni pia mkono kwa mkono cash. Ikishindikana tuma na ya kutolea ili mwenzio akatoe hela yake kamili.

Kama ulitumiwa kwenye simu, tuma pia kiasi ulichotumia ama chenye na ya kutolea au la kutokana na mtumaji wa mwanzo alivyotuma.
Haya nikikuita uje uchukue cash si utatumia nauli kuja? Sasa si ni yaleyale bora nikutumie ukatwe mwenyewe
 
Wakati unaniita nije nichukue cash, je nilikupa kwa mtindo upi?(nilikuletea au nilikutumia)

Kama nilikuletea, itakuwa haki yako kuniletea au unitumie kiasi nilichokupa na ya kutolea.

Kama nilikutumia, huna budi pia kunitumia kiasi kile kile nilichokutumiaga
 
Back
Top Bottom