MJ

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
NDEGE YA MICHAEL JORDAN JE HUU NI UWEKEZAJI,KWANINI SERIKALI ISIFANYE HAWA WEIUSI WENZETU NAO WAJE KUWEKEZA HAPA NCHINI
michael_jordans_personalized_private_plane.jpg
 
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanzania na mkutano mkubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.
 
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanznai na mkutano kubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.

tatizo lipo kwenye usainishwaji wa hiyo mikataba yenyewe ni utaratibu mbovu tena unafanywa kwa siri, hauzingatii kanuni pia hauna maslahi kwa taifa maana wananufaika wachache.
 
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanzania na mkutano mkubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.
mama tatizo mikatabafeki miiingi mno
 
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanzania na mkutano mkubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.

Wewe MWALI sio kweli kuwa mshikaji wako anawaalika waje kuwekeza halafu tunawaambia kuwa wanatuibia; ukweli ni kwamba mkweree anapokwenda huko kuwakaribisha kuwekeza hawaambii ukweli juu ya hali halisi ya nchi kuwa kwanza umeme ni shida na pia kuwa serikali yake haiheshimu sheria za nchi hasa pale haki za wawekezaji zinapokinzana na maslahi ya kisiasa!! Mfano ni hawa wawekezaji wa kiwanda cha saruji kule wazo, hawa ardhi walionunua pamoja na kiwanda imevamiwa na squatters na mahakama zote nchini zimeamuru squatters hao waondolewe kwenye eneo husika, lakini cha kushangaza serikali inashindwa kutekeleza uamuzi wa mahakama ya rufaa hivyo kuzuiai upanuaji wa kiwanda wa U.S.$ million 100; ambao ungesaidia kuongeza ajira na kodi kwa serikali. Sasa kama serikali ya mkweree inashindwa kuwalinda wawekezaji kama hawa unategemea muwekezaji gani mkubwa anaweza kuja kuwekeza kwenye nchi kama hii; pengine wachina wauza maua kariakoo!!
 
Na kama serikali ya ****** ikitimiza amri ya mahakama kwa kuwaondoa hao wavamizi (squatters) kwa nguvu, wengine ndio utakuwa mtaji wa kisiasa na watatokea wengi tu wa kulaani na kupinga kwa namna zote.
 
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanzania na mkutano mkubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.
Una hisa nao?
 
Wale waliochukua twiga pale Kilimanjaro Int. Airport wamewekeza kiasi gani? Walilipa ushuru kiasi gani. Wawekezaji wa migodi kodi wanayolipa inazidiwa na kodi inayolipwa na kiwanda cha kibuku!
 
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanzania na mkutano mkubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.
Kwani uongo?
 
Ahhh, kichwa cha habari kimenichanganya. Mimi nilifikiria picha za Michael Jackson..?!!
 
Kuwaalika wawekezaji sio kuwaalika ngurdoto kula pilao na kupiga nao picha na kuwapeleka serengeti np bure!
Hilo JMK kisha lifanya na aliwaalika hapa Tanzania na mkutano mkubwa sana ulifanyika Arusha na wameanza kuja kwa wingi, tatizo tunawaita wawekezaji halafu tunawaambia wanapora mali zetu, hapo sasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom