Miziki inayochezwa redioni kwetu tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miziki inayochezwa redioni kwetu tanzania

Discussion in 'Entertainment' started by King Kong III, Dec 25, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF,

  Mara nyingi hua siwaelewi hawa ma dj au ma presenter wanaocheza miziki onair,chakushangaza miziki ya mtoni wanacheza clean version(ambapo watanzania wengi hatuelewi wanachozungumza) lakini ya hapa kwetu nyumbani wanacheza dirty version(ambayo tunaielewa kuanzia intro mpaka outro),mie nawashauri waplay also clean version kwa nyimbo zetu za kibongo maana nyingi hauwezi sikiliza ukiwa na familia sebuleni

  Mfano wa maneno ambayo si vizuri yaruke hewani:Mata.ko,chuchu saa sita,fal.a,malay.a,kugongw.a,nigga na maneno yenye kueleweka vibaya au kuudhi

  Nawasilisha
   
 2. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Tatizo hapo ni malezi wamelelewa vibaya, wazazi wao hawakuona tabu kutaja sehemu za siri mbele yao, na pengine hata kutembea bila nguo mbele yao kwa hiyo kwao wanaona hilo ni jambo la kawaida tu, tusiwalaumu wao tuwalaumu wazazi wao. Sasa mtu ambae ana ndugu yake shoga au yeye mwenyewe shoga atashtukaje kupiga wimbo uaoongelea kushika ukuta hadharani? IT IS NOT THEIR FAULT
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280

  Da hapo nimekupata ngalikikinakiki,ndo maana sugu akasema redio imejaa mashogaa ndio naanza kumpata alikua anamaanisha nini
   
Loading...