kwa mujibui wa gazeti la jamhuri....sasa sijui unataka tujadili nini?
Asingeweka source ungesema ni habari za kutunga za bavichakwa mujibui wa gazeti la jamhuri....sasa sijui unataka tujadili nini?
Kweli kabisa.....Mimi sielewi wanaofanya haya maamuzi walisoma uchumi gani na wapi maana anayeamua mzigo upitie wapi au bandari gani ni mwenye mzigo. Kwa sababu TPA walisema wameongea na serikali ya DRC ambayo sina uhakika kama inaweza kuwaelekeza wafanyabiashara wake pa kupitisha mizigo yao!
Afu itakusaidia nini?? na ukute hata ajira huna unategemea ajira bandarini huko hukoNchi ya kiza hii, wasirudi na waendelee kupungua ili akili zitukae sawa.
hujaitwa humu wewe pimbi,kwa mujibui wa gazeti la jamhuri....sasa sijui unataka tujadili nini?