Mizigo bado imepungua bandarini, wafanyabiashara wa Congo wamegoma kurudi

kwa mujibui wa gazeti la jamhuri....sasa sijui unataka tujadili nini?
 
Mimi sielewi wanaofanya haya maamuzi walisoma uchumi gani na wapi maana anayeamua mzigo upitie wapi au bandari gani ni mwenye mzigo. Kwa sababu TPA walisema wameongea na serikali ya DRC ambayo sina uhakika kama inaweza kuwaelekeza wafanyabiashara wake pa kupitisha mizigo yao!
 
Kweli kabisa.....
 
Ingekuwa biashara zinafanywa na serikali siyo watu binafsi basi mpaka sasa mizigo ingekuwa imejaa bandarini kutoka DRC na Zambia
 
Back
Top Bottom