mkuu usimjibu huyu ni mmoja wa wale lm7Kama huna la kujadili mini kimekuleta huku
Nani wakumteua huyo mwenye funza kichwani@ruttashobollwa kachanganyikiwa,teuzi zote zinampita kando
Wewe kweli mbweaMmeshamaliza ya dangote mnarudi tena bandarini kamwe hamuwezi kuwa mbadala kwa nchii hii hamna alternative zaidi ya uzushi ambao hautatui changamoto.
Afu itakusaidia nini?? na ukute hata ajira huna unategemea ajira bandarini huko huko
Uko sahihi mkuu.Mimi sielewi wanaofanya haya maamuzi walisoma uchumi gani na wapi maana anayeamua mzigo upitie wapi au bandari gani ni mwenye mzigo. Kwa sababu TPA walisema wameongea na serikali ya DRC ambayo sina uhakika kama inaweza kuwaelekeza wafanyabiashara wake pa kupitisha mizigo yao!
Mtasema mpaka ufukwe wa mbezi beach na kawe kuna meli zimepakitupe fact na evidence hatutaki habari za vichochoroni.
just tu nimeshuhudia meli 13 zimetia nanga kwenye maji ya kina kirefu karibu na ufukwe wa coco. tupunguze majungu.
Kwa mujibu wa gazeti la jamhuri,hali bado ni tete bandarini,mizigo bado imepungua,na kwamba wafanyabiashara wa Congo wamegoma kurudi mpaka pale VAT itakapoondolewa.
VAT inawaudhi wengi ni bora ile kodi ya kawaida yaani 10% ya pato iendelee kama kawaida,kodi kwa sasa si rafiki kwa watu wengi ndiyo maana ukwepaji kodi bado upo.Mimi sielewi wanaofanya haya maamuzi walisoma uchumi gani na wapi maana anayeamua mzigo upitie wapi au bandari gani ni mwenye mzigo. Kwa sababu TPA walisema wameongea na serikali ya DRC ambayo sina uhakika kama inaweza kuwaelekeza wafanyabiashara wake pa kupitisha mizigo yao!
VAT ni shiiiiida sijui kwa nini hawataki kuendelea na kodi ya kawaida ambayo ni kodi rafiki kwa walipa kodi.Kwa mujibu wa gazeti la jamhuri,hali bado ni tete bandarini,mizigo bado imepungua,na kwamba wafanyabiashara wa Congo wamegoma kurudi mpaka pale VAT itakapoondolewa.
inaenda katikati ya mwenzi makusanyo ya november mpaka leo hawajatangaza teh tehKabila aliwapa watu matumaini hewa.
Alafu hivi mapato ya TRA mwezi huu yametoka?