Mizigo bado imepungua bandarini, wafanyabiashara wa Congo wamegoma kurudi


Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,081
Likes
16,612
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,081 16,612 280
kwa mujibui wa gazeti la jamhuri....sasa sijui unataka tujadili nini?
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,458
Likes
14,170
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,458 14,170 280
Usishangae Mkuu anamleta Rais Kabila hapa nchini ili kuja kukanusha hilo.
Naona aliletwa NA wa Zambia kushawishi watumie bandari,ingekuwa bora angekuwa anakutana NA wafanyabiashara,sio wanasiasa,
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,687
Likes
18,435
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,687 18,435 280
Watakuja tu.
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,458
Likes
14,170
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,458 14,170 280
Ngumu sana
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,167
Likes
6,620
Points
280
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,167 6,620 280
Mimi sielewi wanaofanya haya maamuzi walisoma uchumi gani na wapi maana anayeamua mzigo upitie wapi au bandari gani ni mwenye mzigo. Kwa sababu TPA walisema wameongea na serikali ya DRC ambayo sina uhakika kama inaweza kuwaelekeza wafanyabiashara wake pa kupitisha mizigo yao!
 
O

Omerta

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2016
Messages
3,731
Likes
2,996
Points
280
O

Omerta

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2016
3,731 2,996 280
Nchi ya kiza hii, wasirudi na waendelee kupungua ili akili zitukae sawa.
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,458
Likes
14,170
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,458 14,170 280
Mimi sielewi wanaofanya haya maamuzi walisoma uchumi gani na wapi maana anayeamua mzigo upitie wapi au bandari gani ni mwenye mzigo. Kwa sababu TPA walisema wameongea na serikali ya DRC ambayo sina uhakika kama inaweza kuwaelekeza wafanyabiashara wake pa kupitisha mizigo yao!
Kweli kabisa.....
 
S

stigajemwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
448
Likes
423
Points
80
S

stigajemwa

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
448 423 80
Ingekuwa biashara zinafanywa na serikali siyo watu binafsi basi mpaka sasa mizigo ingekuwa imejaa bandarini kutoka DRC na Zambia
 

Forum statistics

Threads 1,273,117
Members 490,304
Posts 30,472,083