Mizengo Pinda: Serikali ibadilishe mfumo wa Elimu na Watoto wasiendelee kudanganywa kwamba kuna ajira

Mwambieni Mzee Pinda atoe solution na sio kupiga blah blah, kama mtu aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa anapaswa kufikiri mara 1000 ya hapo aje na solution anayoweza hata kushauri taasisi za maamuzi..Tanzania bado haijawa nchi yakuwa na tatizo la ajira watu wasikimbie majukumi wafikiri na kuzitengeneza hizo ajira..
Mzee mbona na wewe ulikuwa humo Serikalini mbona hukufanya hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Pinda ameishauri serikali ibadilishe mfumo wa elimu ili wanafunzi wajikite katika stadi za ufundi na ujasiriamali.

Mzee Pinda ametahadharisha kuwa siyo vema watoto wakaendelea kudanganywa kuwa kuna ajira wakati kiuhalisia ajira ni chache sana.

Pinda alikuwa anafunga kongamano la wawekezaji mkoani Songwe.

Chanzo: ITV habari

My take; Nimeupenda ukweli wa Pinda, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Ndio anajua leo? Mnafiki mkubwa yule mzee
 
Mzee Pinda aka the Former prime minister of Tanzania and he served in different serious positions to this nation..

Mzee Pinda ajira haziji bahati mbaya bali hutengenezwa ndio maana ya kuwa na think tanks na Serikali, Tanzania bado ni Taifa masikini linalohitaji sana nguvu kazi litoke hapa, population ya watu zaidi ya 50milions na eneo lililobarikiwa rasirimali za kutosha ni silaha zinazohitaji kutumiwa kwa upana..

Ulaya na America wanatatizo la ajira kutokana na maendeleo ya teknolojia hivyo kazi nyingi za binadamu zimechukuliwa na robots na mifumo ni automations..sasa huku Africa tunashindwaje kutengeneza mamilioni ya ajira ilihali bado tuko kwenye mechanical world, viongozi wetu wanatakiwa wafikiri ndio maana ya kuwa viongozi na sio blah blah..
Hii ya ulaya na marekani acha uongo.
 
Alipokuwa ndani ya madaraka hakuliona hilo, Sasa yupo nje ya uwanja ng'o ng'o.
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Pinda ameishauri serikali ibadilishe mfumo wa elimu ili wanafunzi wajikite katika stadi za ufundi na ujasiriamali.

Mzee Pinda ametahadharisha kuwa siyo vema watoto wakaendelea kudanganywa kuwa kuna ajira wakati kiuhalisia ajira ni chache sana.

Pinda alikuwa anafunga kongamano la wawekezaji mkoani Songwe.

Chanzo: ITV habari

My take; Nimeupenda ukweli wa Pinda, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
wakati yupo madarakani alishindwa nini kuweka haya mambo sawa?
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Pinda ameishauri serikali ibadilishe mfumo wa elimu ili wanafunzi wajikite katika stadi za ufundi na ujasiriamali.

Mzee Pinda ametahadharisha kuwa siyo vema watoto wakaendelea kudanganywa kuwa kuna ajira wakati kiuhalisia ajira ni chache sana.

Pinda alikuwa anafunga kongamano la wawekezaji mkoani Songwe.

Chanzo: ITV habari

My take; Nimeupenda ukweli wa Pinda, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Mbona kila mtu anajifanya mtaalamu wa elimu? Hakuna ajira ana maana gani? Atueleze nchi gani duniani inayofundisha watu kujiajiri. Watu wote duniani wanaajiliwa na wachache walioweza kuunga kazi za ajira, sasa yeye antaka kila mtu ajiajiri! Dunia gani hiyo?
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Pinda ameishauri serikali ibadilishe mfumo wa elimu ili wanafunzi wajikite katika stadi za ufundi na ujasiriamali.

Mzee Pinda ametahadharisha kuwa siyo vema watoto wakaendelea kudanganywa kuwa kuna ajira wakati kiuhalisia ajira ni chache sana.

Pinda alikuwa anafunga kongamano la wawekezaji mkoani Songwe.

Chanzo: ITV habari

My take; Nimeupenda ukweli wa Pinda, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Albert Einstein alisema kuwa "We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them"

Mizengo Pinda ni sehemu ya tatizo, hana haki ya kuwa sehemu ya majawabu ya unemployment. Halafu kutwa kulamba viatu vya JPM ili ampe ulaji kwa njia ya trip na uwenyekiti wa Bodi.
 
Pinda mwenyewe alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka mingapi na kafanya nini kuweka hili sawa?

Hili jambo si jipya, tangu miaka ya sitini na sabini Mwalimu Nyerere aliliandika sana katika vitabu vyake.Nyerere alisisitiza sana elimu iwe practical, isiwe nadharia tu.Mfano, alisisitiza sana umuhimu wa elimu ya ufundi na elimu ya kilimo. Elimu ambayo ni rahisi kumpa mtu uwezo wa kujiajiri.

Sasa Pinda kafanya kipi katika Uwaziri Mkuu wake?
Tujikumbushe wakati ule miaka ya 1970 hadi 1980 wakati sera ya Ujamaa na Kujitegemea ilikuwa inatekelzwa kwa vitendo. Karibu shule nyingi zilkuwa na miradi ya kilimo/ ufugaji. Na kwa kweli wale ambao hawakubahatika kwenda shule ya sekondari waliweza kuendesha maisha ya kijijini ya kilimo na wafugaji kama ajra ingawa haikuwa rasmi. Leo tuna wahitimu wa fani tofauti lakini wengi wao wanakosa ajra rasmi kwa sababu mwajiri mkuu ni serikali. Tukubali kuwa bado sekta za kilimo, ufugaji na ujasiriamali zikiboreshwa zinatoa ajira nyingi. Juzi nilisikia kijana mmoja kule Njombe anayelima Maparachichi anayoingiza kipato kwa kuuza matunda na miche. Ameajiri watu wa kumsaidia na kwa kipato kile anahitaji Mhasibu, Bwana shamba, msimamazi wa shughuli za kila siku, na mtu wa masoko. Tusikwepe Kilimo
 
Hata daktari anaweza kuwa mjasiriliamali , akijiamini kuchukua mkopo na kuanzisha hosipitali yake tayari amejiajiri . Sio yeye peke yake ila ataisaidia serikali katika swala la ajira . Kusoma sio lazima kuajiriwa ila kujiajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wa kulaumiwa ni mwl nyerere ?
Alibadili Sera za uchumi toka za kikoloni zilizoamsha hari ya kufanya kazi hadi Sera za uvivu za kutokutaka kufanya kazi ( ujamaa) hata usipofanya kazi utakula tu.Ye angetembea na colonial economy system tungekuwa mbali sana
 
Ndio maana wajerumani walifanya special study kutafuta sababu ya watanganyika kutopenda kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom