Mizengo Pinda (Mtoto wa Mkulima) Akiwa Shambani!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
IMG_9046.jpg

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa shambani kwake Kibaoni kwa maandalizi ya kupanda mahindi mh yupo nyumbani kwao kwa mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya. (Picha: Chris Mfinanga)

Hongera sana Pinda kwa kuonesha mfano wa Kilimo Kwanza kwa vitendo!

Source: Mjengwa's blog.
 
Pinda anatofauti gani na wengine? kwakuwa inasemekana zaidi ya 85% ya watanzania ni wakulima hivyo nategemea hao watoto wa wakulima ni zaidi ya 85% kwakuwa kwanza wakulima wanazaliana sana! sasa yeye anaposema mtoto wa mkulima si usanii tu?. Wakulima wenyewe wa bongo wanalima wakiwa na mabuti na hasa kama anafanya kazi anayoonyesha hapo?. mabuti tuu siyatamchosha?. Waache usanii kwanza inawezekana kabisa amefika shambani ili apige picha!
 
sijui,i might be wrong!!labda ni miwani ya jua..........!!! but for sure he might have gone at the farm to take a snap...........!!
 
pinda anatofauti gani na wengine? Kwakuwa inasemekana zaidi ya 85% ya watanzania ni wakulima hivyo nategemea hao watoto wa wakulima ni zaidi ya 85% kwakuwa kwanza wakulima wanazaliana sana! Sasa yeye anaposema mtoto wa mkulima si usanii tu?. Wakulima wenyewe wa bongo wanalima wakiwa na mabuti na hasa kama anafanya kazi anayoonyesha hapo?. Mabuti tuu siyatamchosha?. Waache usanii kwanza inawezekana kabisa amefika shambani ili apige picha!
wizi mtupu, huyu ni fisadi tu hakuna cha mtoto wa mkulima wala nn, anampa dhambi za bure baba yake
 
Huyu amepewa uwaziri mkuu mwaka 2008, ina maana msimu huu ni exceptional ndo anaweza kupanda mahindi yakaota miaka mingine ilikuwa mvua hazipo na wala mahindi yasingeota, au anataka kutuambia tangu wakati huo alikuwa chuoni kusomea kilimo na sasa ndiyo ameingia kwenye mafunzo kwa vitendo?

Hii picha haina tofauti na yule mwingine hivi karibuni alionekana anafanya jogging.

Hivi watanzania tumekuwa wajinga kiasi hicho, ati akiwa shambani basi kama anaiweza hiyo kazi ya shamba kwa nini hiyo isiwe ndiyo ajira yake ya kudumu badala ya ajira za maonyesho ya msimu msimu na hasa pale inapotokea muda wa kunyoshewa vidole unakaribia.

Hao washauri wao wana mbinu za kipuuzi kabisa tena za kitoto kama si za kijinga, basi wapigeni picha wakiwa wanakwapua mamilioni ya wadanganyika pia maana nayo hiyo ni sehemu ya majukumu yao baada ya kuua azimio la arusha
 
Anatuona watanzania mburula!! Akwende zake, mkulima atakuwa yeye?
 
Bora huyu kuliko dr slaa.kuliya siku zote alikuwa wapi kutoa hayo machozi? Huo ndio usanii kupita maelezo.bora ya huyu kakima akikosa kuchaguliwa .asipite pite kuomba.nakuliya.
 
Slaa analilia wanao teswa bila kosa kama yesu alipotulilia sisi hadi tukasamehewa bure. Pinda ndo mnafiki mkuu anaejifanya mtoto wa mkulima huku anasema hao wakulima wakidai haki zao wapigwe tuuu wakati mafisadi majambaz anawalegezea.
 
Kapiga T-shirt ya Tusker. Sijui anatuma ujumbe gani kwa China na Tembo wetu?
 
Umekwenda kuhakikisha wapi umesamehewa hizo dhambi??? Mngetukana watu ovyo.mmekuzwa na ccm mpaka leo ndiyo maana upo
 
Huyu amepewa uwaziri mkuu mwaka 2008, ina maana msimu huu ni exceptional ndo anaweza kupanda mahindi yakaota miaka mingine ilikuwa mvua hazipo na wala mahindi yasingeota, au anataka kutuambia tangu wakati huo alikuwa chuoni kusomea kilimo na sasa ndiyo ameingia kwenye mafunzo kwa vitendo?

Hii picha haina tofauti na yule mwingine hivi karibuni alionekana anafanya jogging.

Hivi watanzania tumekuwa wajinga kiasi hicho, ati akiwa shambani basi kama anaiweza hiyo kazi ya shamba kwa nini hiyo isiwe ndiyo ajira yake ya kudumu badala ya ajira za maonyesho ya msimu msimu na hasa pale inapotokea muda wa kunyoshewa vidole unakaribia.

Hao washauri wao wana mbinu za kipuuzi kabisa tena za kitoto kama si za kijinga, basi wapigeni picha wakiwa wanakwapua mamilioni ya wadanganyika pia maana nayo hiyo ni sehemu ya majukumu yao baada ya kuua azimio la arusha

Dah! Hii habari kwa mara ya kwanza mwaka 2010 ndo ilionekana hapa jukwaani.
 
IMG_9046.jpg

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa shambani kwake Kibaoni kwa maandalizi ya kupanda mahindi mh yupo nyumbani kwao kwa mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya. (Picha: Chris Mfinanga)

Hongera sana Pinda kwa kuonesha mfano wa Kilimo Kwanza kwa vitendo!

Source: Mjengwa's blog.

Shamba limelimwa hovyo hovyo! PM angeonesha best practices kilimo kuanzia good land preparation. Mfano wa well ploughed land hapa.
 
Attachments

  • 73_7.jpg
    73_7.jpg
    17.5 KB · Views: 162
IMG_9046.jpg

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa shambani kwake Kibaoni kwa maandalizi ya kupanda mahindi mh yupo nyumbani kwao kwa mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya. (Picha: Chris Mfinanga)

Hongera sana Pinda kwa kuonesha mfano wa Kilimo Kwanza kwa vitendo!

Source: Mjengwa's blog.

Mmmh! Mbona hana vitendea kazi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom