Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

NINAHASIRA

Member
Nov 5, 2010
58
9
Kama ilivyo kawaida yake mzee wa Surpries mheshimiwa kanali dokta JEYKEY anatarajia kuushangaza umma leo kwa kutoa jina la Waziri mkuu ambaye watu hawataamini masikioni mwao! Tumeanza na sita sasa Subirini!

UPDATES:

8E9U8444.jpg

makinda_kikwete.jpg


JK akabidhi rasmi jina la Waziri Mkuu kwa Spika Anne Makinda!!

JINA LILILOPENDEKEZWA NI: Mizengo Peter Pinda (MB)

1.JPG

DSC_1867.JPG

 
daaaaaaa mnamjadili raisi wenu anaweza kumpa hata kilaza flani!! I DON'T CARE NACHOJUA WATANZANIA WAKAZE MKANDA ZAIDI YA ULE WA VITA YA IDD AMIN!
 
Wanabodi,
Tumekutana tena kuendeleza ile kazi ya Bunge Jipya,
Kika cha asubuhi hii kimeshaanza, kitamtangaza Waziri Mkuu mpya muda wowote kuanzia sasa.

Endelea nami...
 
Duh! barua ya waziri mkuu mteule haijafika. so, zoezi limeahirishwa hadi jioni
 
Hata teuwa waziri mkuu mpya ni yuleyule mtoto wa masikini kutoka sumbawanga mzee pinda,kitakachobadilika ni mawazili ambao pia tutarajie watoto wa wakubwa kuwepo hususani makamba.


Mapinduziiiiii daimaaaaaaaaa
 
Pasco huna mana wewe, kwa nini usisubiri mpaka waseme jina ? unawahi nini sasa na thread yako? wakati kama ni kujadili tumejadili muda mrefu.
 
Ohoo... Barua ya jina la Waziri Mkuu ni saa 10 jioni. Ile barua kutoka Ikulu, bado haijafika!.

Another completely waste of time!,

Sasa wanachagua wawakilishi wa Bunge la Tanzania kwenye Bunge la SADC.
 
Kikao cha jioni ndio watachagua Naibu Spika, na hao wawakilishi wa Bunge la SADC, pia leo wabunge watajaza fomu za kuchagua kamati mbalimbali za Bunge.
 
Ohoo... Barua ya jina la Waziri Mkuu ni saa 10 jioni. Ile barua kutoka Ikulu, bado haijafika!.

Another completely waste of time!,

Sasa wanachagua wawakilishi wa Bunge la Tanzania kwenye Bunge la SADC.

Haya mambo ya ajabu kabisa na upotevu wa hela zetu tu walipakodi, hakuna sababu ya kurefusha huu mjadala.
 
Back
Top Bottom