Baada ya kukaa Dodoma kwa siku tatu doing nothing, nilijua hiki ndio kikao cha jina la kutangaza jina la Waziri Mkuu!.Pasco huna mana wewe, kwa nini usisubiri mpaka waseme jina ? unawahi nini sasa na thread yako? wakati kama ni kujadili tumejadili muda mrefu.
Sasa kinachokufanya ushangae ni nini wakati ndo serikali uanyoishabikia!Tulia mpaka bajaji ya posta itoke dar to Dodoma,sio leo hiyo!Duh! Barua kuchelewa?
Wanabodi,
Tumekutana tena kuendeleza ile kazi ya Bunge Jipya,
Kika cha asubuhi hii kimeshaanza, kitamtangaza Waziri Mkuu mpya muda wowote kuanzia sasa.
Endelea nami...
Utashangaa likitajwa jina la Dr. SHUKURU KAWAMBWA?
Ohoo... Barua ya jina la Waziri Mkuu ni saa 10 jioni. Ile barua kutoka Ikulu, bado haijafika!.
Another completely waste of time!,
Sasa wanachagua wawakilishi wa Bunge la Tanzania kwenye Bunge la SADC.
Wanabodi,
Tumekutana tena kuendeleza ile kazi ya Bunge Jipya,
Kika cha asubuhi hii kimeshaanza, kitamtangaza Waziri Mkuu mpya muda wowote kuanzia sasa.
Endelea nami...