Mizengo Pinda anazindua repoti ya BRN Muda huu, Katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Waziri mkuu na karibia mawaziri wote na mtendaji mkuu wa BRN,Katibu mkuu kiongozi na watendaji wa kile kitengo cha raisi cha kufuatilia miradi wapo hivi sasa katika ukumbi wa Mlimani City kwa kupeana na kupokea taarifa za BRN
Live @ TBC
===================

Waziri mkuu MIZENGO PETER PINDA leo anazindua ripoti ya mwaka mmoja 2013 / 2014 wa mpango wa kutekeleza matokeo makubwa sasa yaani (BRN) katika ukumbi wa mlimani City jijini Dar es salaam.

Waziri mkuu pinda amesema ripoti hiyo inamrengo kabambe wakuona ninamna gani wamefikia lengo na hivyo kuweza kujitathimini kupitia matokeo hayo ambayo yana malengo makuu ya dira ya dunia hadi ifikapo mwaka 2025
 
Mwenye kujua bei ya ukumbi Mlimani City na viburudisho ni bei gani?
Hizo pesa zisingeweza kuongeza maabara na madawa hospitalini?
Maofisi mangapi yamefungwa leo?
Mafuta kiasi gani yametumika?
Wangechapisha tu hizi taarifa na kila mtu akazipata na kuzipitia akiwa sehemu yake ya kazi
Haya ni mazoea ya kuyaacha sasa!!
Ni kama lile suala la Polisi Ilula kukamata watu eti wanakunywa pombe saa za kazi! Saa za kazi ni zipi?
Je watu wore wanafanya kazi serikalini? Ama saa za kazi ni kufuata kucha na kuchwa kwa jua
Big Restructuring needed now!
 
Sioni sababu ya mzazi kujisifia kwa majukumu ya kawaida unayopaswa kuyafanya kwa familia yako
Unaweza kujisifia tu kama umefanya ya ziada na yasiyo ya kawaida hali ambayo mara nyingi utasifiwa kwani yataonekana kwa kila mtu
 
hatari sana ............ hiyo avatar yako inanichekeshaga sana duh .. hata ukiongea kitu naona avatar zaidi
 
Mwenye kujua bei ya ukumbi Mlimani City na viburudisho ni bei gani?
Hizo pesa zisingeweza kuongeza maabara na madawa hospitalini?
Maofisi mangapi yamefungwa leo?
Mafuta kiasi gani yametumika?
Wangechapisha tu hizi taarifa na kila mtu akazipata na kuzipitia akiwa sehemu yake ya kazi
Haya ni mazoea ya kuyaacha sasa!!
Ni kama lile suala la Polisi Ilula kukamata watu eti wanakunywa pombe saa za kazi! Saa za kazi ni zipi?
Je watu wore wanafanya kazi serikalini? Ama saa za kazi ni kufuata kucha na kuchwa kwa jua
Big Restructuring needed now!

Last time I checked, it was 24M kwa masaa matano.
 
Back
Top Bottom