Mizengo Kayanza Peter Pinda ni Waziri Mkuu mstaafu wa mfano

Mzee wa "wapigwe tu"

Mambo yake ya ufugaji alikuwa nayo tangua miaka ya nyuma. Safi Sana .
 
Mada haiongelei uongozi wa Pinda, inaongelea maisha yake ya ujasiria mali baada ya kustaafu.

67e90213b6bf05cc80483204f3365dbb.jpg
 
ule, post: 18614119, member: 71865"]Hivi kwa mziki wa Majaliwa hu huyo mzee unae msifia huoni kama anaona AIBU!? Mambo mengine mue mnaa andika mkijua wengi wana soma bana![/QUOTE]
Majaliwa kafanya nini?kugawa millioni20kwa wabunge wa ccm?
 
Back
Top Bottom