Mizengo Kayanza Peter Pinda ni Waziri Mkuu mstaafu wa mfano

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.

Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.

Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.

Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.
 
Wakati Wassira kasema hajui maisha mengine zaidi ya siasa hivyo 2020 anagonbea tena ubunge. Smh.

Limekaa kwenye uongozi zaidi ya miaka 30 ila Hakuna cha maana limefanya ila Bado linataka kurudi tena mjengoni. Ujinga ni kudhani wewe tu ndiyo mwenye haki ya kuongoza
 
Pinda acha kuwa alikuwa kachero mkubwa serikalini bali ni msomi wa degree ya sheria toka UDSM!!! Angetaka angeweza hata kuwa wakili wa kujitegemea lakini ameamua kufuga nyuki!!!
 
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.

Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.

Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.

Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.
HANA MAADILI:according to kamati kuu. Ule mchakato uliwaumiza wengi sana.
 
Back
Top Bottom