jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 338
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.
Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.
Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.
Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.