Mizengo Kayanza Peter Pinda ni Waziri Mkuu mstaafu wa mfano

Wakati Wassira kasema hajui maisha mengine zaidi ya siasa hivyo 2020 anagonbea tena ubunge. Smh.

Limekaa kwenye uongozi zaidi ya miaka 30 ila Hakuna cha maana limefanya ila Bado linataka kurudi tena mjengoni. Ujinga ni kudhani wewe tu ndiyo mwenye haki ya kuongoza
Km li-lowasa!
 
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.

Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.

Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.

Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.

Samahani Mkuu hivi na Waziri Mkuu ' aliyejistaafisha ' mwenyewe na kuangukia ' pua ; katika Uchaguzi Mkuu mwaka jana Ndugu Edward Ngoyai Lowassa na yeye sasa anajishughulisha na ' mradi ' au ' shughuli ' gani? Natamani nijue jamani!
 
Kuna mama anaitwa Faizafox akiona hii post yako, hili jukwaa utaliona chungu.
Aje tu mimi sio mgeni naye.
Najua huwezi kumwambia kitu kwa Rais wake. Ni mawazo yake. Nami nina mawazo yangu.
 
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.

Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.

Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.

Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.
Kosa kubwa alilofanya Pinda ni kugombea urais. Hakuwa na nafasi hata kidogo. Kule Zanzibar kwake ni sumu!
Nilitamani asichukue fomu abaki na heshima yake. Bado namheshimu sana.
 
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.

Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.

Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.

Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.

Tabia ya Mzee Pinda ni in- born. Hata kwenye siasa alikuwa anafanya mambo kwa wisdom, na alipenda sana kuzungumza ukweli. he is simply ........down to earth person!!
 
Halafu kuna mmoja yeye alivuliwa wadhifa na bunge kila siku analalamika eti alihujumiwa dodoma na chama chake jana kwamba yeye tu ndiyo mwenye haki ya kuongoza nchi akahama kambi na kwenyewe watanzania wakafanya yao bado tu eti anaamini atakuja kuwa rais wa nchi hii wakati alihidi akishindwa anaenda kuchunga mifugo yake cha kushangaza anarandaranda tu mjini
 
Kwa hili anastahili kupewa heshima yake. Utulivu wake unaonesha ni mtu asiyependa vurugu za kisias.
 
Tanzania ina watu vichwa sana. Basi tu huwa tunadharau viongozi wetu.

Mizengo Pinda baada ya kubwagwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais 2015, akajikalia zake kimyaaa huku akijishughulisha na miradi yake ya kilimo, mifugo na uvuvi. Anapenda maisha ya shambani.

Anafuga ng'ombe, nyuki, Mbuzi, kondoo kisasa na anasafirisha nje ya nchi.

Hana papara na siasa,ameziacha, mzee wa watu jembe sana.
Huwezi kumfananisha na Tyson, Kingunge na wengineo. Kimyaaa na mambo yake ya ujasiriamali.
Lowassa na wasira wote wanafanana kwa tamaa ya madaraka
 
Back
Top Bottom