Mizani ya Vigwaza (Kibaha) kutumika kwa kampeni Dakika za mwisho

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Wadau nimepita pale mizani mpya ya Vigwaza nimeona marekebisho na ujenzi wa jiwe la msingi ukifanyika nikaambiwa mheshimiwa rais anakuja kuzindua akiwa na mgombea urais.Kwangu mimi nina maswali mawili...

1. Kwanini uchaguzi wetu hautoi mizania sawa kwa wagombea? Je, mgombea anaweza kuwa bado waziri akiwa si mbunge tena?

2. Je, ni kweli imetumika bilioni 15 kujenga ule mzani?
 
Ndiyo katiba yetu, mawaziri waliopo serikalini wapo kwny majukwaa ya kampeni ya ccm.
 
Wananchi tumeshaamua, sasa hivi hata wakizindua benki inayogawa hela bure kwa watanzania ni kazi bure
 
Back
Top Bottom