Mixers za Vista?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,399
39,550
Hivi kwenye windows xp mixers za sound zinapatikana kiurahisi... hivi kwenye windows vista.. mbona inakuwa vurugu.. anybody mwenye idea..
 
WaveMax 3 Sound Editor can help? Am trying to think of what you're looking for.

Thanks
 
Double-click the speaker icon on the system tray
utaona alama ya sound na speaker,hapohapo chini
utaona maandishi "Mixer" click hapo itakupeleka
unapotaka kwenda!!!
 
Una Maanisha Volume Control ? Unapotaka Kuona Hizo Katika Tray Lakini Sound Driver Ziwepo Katika Computer Yako Ndio Unaweza Kufanya Uption Ya Kushow Au Hide Volume Control Je Computer Yako Ina Sound Drivers Yaani Unaweza Kusikia Sauti ?
 
drivers zipo sauti inasikika vizuri tu... tatizo tunapotaka kufanya matangazo kwa kutumia kompyuta hasa kwa kutumia shoutcast unahitaji uwezo wa kuona mixers za hiyo soundcard yako. Tatizo la Vista linakupa control zake lakini you don't get any classical mixers. Lakini naona vista hawakutaka kuwa nazo. I think I'm gonna put XP in the new computers...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom