ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 299
Mwenye uelewa au kufahamu namna ya kupata miwani hii ya kupunguza mionzi y mwanga wakati wa kutumia computer, ili kuepusha macho kuharibuka
Asanteni
Asanteni
Ahaa, asante chiefSiku moja nilishauriwa na daktari mmoja hapo ccbrt kwamba matumizi ya computer za kisasa hayana madhara kwenye macho labda kama unatumia zile monitor za kizamani ambazo ukiangalia unaona mwanga wake Kama unachezacheza hivi.
Hizo glass zinaitwa "Anti Blue ray Eyeglasses" haina eye prescription yoyote ile, so unaweza kuinunua na kuivaa bila kwenda kwa optometrists, zinafaa kwa watu ambao wanaangalia movie kwa muda mrefu, kutumia PC kwa muda mrefu pia ambao wapo addicted na video games. Kwa hapa TZ sijui upatikanaji wake, mm niliwai kuagiza kutoka India ile ambayo ni first class kwa Rupee 3,500 lakini zipo hadi za Rupee 500 tofauti ni ubora wa frames.Mwenye uelewa au kufahamu namna ya kupata miwani hii ya kupunguza mionzi y mwanga wakati wa kutumia computer, ili kuepusha macho kuharibuka
Asanteni
mkuu wana pima kutumia nini. au ni ile fungajichooo some herufiNiliwahi kupata hili tatzo kipindi cha nyuma. Nilienda CCBRT nikapimwa macho na wakanipatia aina ya miwani kadri ya uwezo wa macho yangu. Ni vyema ukaenda hospital kuepuka madhara ya kuua macho kabsa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie hiyoHizo glass zinaitwa "Anti Blue ray Eyeglasses" haina eye prescription yoyote ile, so unaweza kuinunua na kuivaa bila kwenda kwa optometrists, zinafaa kwa watu ambao wanaangalia movie kwa muda mrefu, kutumia PC kwa muda mrefu pia ambao wapo addicted na video games. Kwa hapa TZ sijui upatikanaji wake, mm niliwai kuagiza kutoka India ile ambayo ni first class kwa Rupee 3,500 lakini zipo hadi za Rupee 500 tofauti ni ubora wa frames.
NOTE: Ni muhimu kwenda hospital, ukigundulika hauna tatizo tafuta hizo protective glass.
View attachment 1022037View attachment 1022039
Hizo glass zinaitwa "Anti Blue ray Eyeglasses" haina eye prescription yoyote ile, so unaweza kuinunua na kuivaa bila kwenda kwa optometrists, zinafaa kwa watu ambao wanaangalia movie kwa muda mrefu, kutumia PC kwa muda mrefu pia ambao wapo addicted na video games. Kwa hapa TZ sijui upatikanaji wake, mm niliwai kuagiza kutoka India ile ambayo ni first class kwa Rupee 3,500 lakini zipo hadi za Rupee 500 tofauti ni ubora wa frames.
NOTE: Ni muhimu kwenda hospital, ukigundulika hauna tatizo tafuta hizo protective glass.
View attachment 1022037View attachment 1022039
Asante sana mkuuComputer za sasa hazina madhara sana kwa macho. Epuka yafuatayo, kuongeza brightness mpaka mwisho ukiwa ndan ya chumba chenye mwanga hafifu au giza kabisa yaani unazima taa af unaongeza mwanga wa computer yako sana hiyo ina madhara
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki moja tu!Niuzie hiyo
Duh sio poa mi nishaagiza yangu ya 5000 ipo njiani inakuja ikifika nitatupiaLaki moja tu!
Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Duh sio poa mi nishaagiza yangu ya 5000 ipo njiani inakuja ikifika nitatupia
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo hata za elfu tatu mkuu, kikubwa angalia quality na hizo zilizopo aliexpress nyingi ni quality ndogo, afadhali uchague za Xiaomi Roidmi zipo qualified na mashirika mengi ya kimataifaDuh sio poa mi nishaagiza yangu ya 5000 ipo njiani inakuja ikifika nitatupia
Sent using Jamii Forums mobile app