Miwani ya infrared na waafrika: Unapokuwa umevaa lakini mzungu anakuona uko uchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miwani ya infrared na waafrika: Unapokuwa umevaa lakini mzungu anakuona uko uchi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbunge, Oct 22, 2008.

 1. M

  Mbunge Senior Member

  #1
  Oct 22, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alipotoka alikuja kavaa miwani meusi ya jua. Nilishangaa. Sikuacha mshangao uweke alama ya mshangao moyoni mwangu. Nikamuuliza: ' What's the matter goggles in the night?'

  Akanijibu:' No, no, no thesea are no ordinary spectacles. Try them and you'll see!'

  Nilifanya hivyo. Japo mwenzangu alikuwa kavaa nguo kwangu alikuwa uchi wa mnyama.

  Mmm, nikawaza hivi nikiwa na baba yangu, mama yangu, mimi mwenyewe, mke wangu na wenetu huyu dada angelikuwa anatuona sote uchi wa mnyama!

  Nikajiuliza yaani hawa wanaokwenda Marekani kila siku, ujumbe mzima kuna wapelelezi wa Kimarekani sio chini ya malefu wanaoona video za uchi za bure? Na huku eti tunazungumzia kuondoa picha chafu kwenye mtandao. Kumbe ukiwa na miwani hii ya Kimarekani unaona tena kila kitu 'laivu'?

  Isitoshe Austria, Switzerland na Ubelgiji kuanzia Januani mwaka huu zitakuwa na SCANNER ambayo inawaruhusu jamaa wa maigresheni kukuona hadi sio tena matusi ya nguoni bali matusi ya ngozini! Haya mliopo Marekani na Ulaya waelezeni Watanzania wasishangae watu kuvaa nguo fupi, sijui vimini na vitopu vile, kwani ukweli, ni kuwa ukiwa na miwani ya infraredi leo unafaidi kila kitu. Sintoshangaa kuona wauza miwani jijini wakiichangamkia biashara hii haraka iwezekanavyo maana Wataiwani na Wakorea kama kawa wameshaanza kazi.

  Ukitembea njiani sikuzi ukaona mtu kavaa miwani myeusi jua ya kwamba anakuona kila kifaa chako kama ulivyozaliwa! Kazi!

  Lazima hapa Bubu atataka kusema na kiziwi atasikia angalau mngurumo wa injini ya satelaiti ya Wahindi iliyokwnda anga za juu hiyo jana wakati tulianza nao daraja moja la umasini mwaka 1960!

  mbunge
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Inatumiwa sana na wanausalama na ndo maana mabodyguard wengi huivaa.

  Je ukivaa miwani hiyo inaweza kumwona mtoto aliyetumboni mwa mama mjamzito. Je infrared radiations zinaweza leta madhara yeyote kwa binadamu?
   
 3. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mmmh hii khatari bora ss wanawake kidogo tunastara ... wanaume ndo kabisa balaa yani tena unamtoa nishai kabisa kwani unamuona alivyo .. hakianani vile unaweza ukagongwa na gari .. nawashauri wanawake wenzangu wasizivae
   
 4. M

  Mama JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  kwani kuzivaa kuna madhara gani kiafya?
   
 5. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hayo utakaeyaona tu ni madhara tosha .. mengine .. aku sijui kwani ndo kwanza nayasikia
   
 6. M

  Mama JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  kuona si madhara, bali ni aina ya leasure. Hayo madhara unayoyasikia ni yepi? naomba kufahamishwa kama yapo madhara kiafya as am about to go for them.
   
 7. M

  Masatu JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Stara ipo wapi wakati kila mtu utupu wake unaonekana? au unamanisha maumbile ya viungo vya kike na vya kiume? Hata kama ni hivyo mwisho wa siku sote tupo uchi!

  Mambo ya teknolojia haya....
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mbunge na wengine,
  Sikujua kama hii kitu ni kweli. Kuna wimbo wa bendi moja ya Ukraine. Huu wimbo waliimba kwenye Euro Vision na kuwapa umaarufu sana. Wajinga hawa wakaenda kuweka Music clip yao imekaa ki-miwani miwani. Kituko ni pale babu mmoja anageuka na kumwangalia mwenzake. Mhh, kweli hawa jamaa wa Usalama ina maana huwa wanaona hata Nyeti za rais na Mkewe na Wanae? Tuseme kuwa wameshamfaidi Obama, Mkewe na wanae. Billy Clinton na Mkewe na Chelse, Huko China kwenye Olympic ndiyo walifaidi za kila rangi na maumbo tofauti. Mhhh, hata Malikia Elizabeth. Mke wa Sarkozy....... Gorge Bush na mkewe na wale mapacha...... Kazi kweli ipo. Nashidnwa kuamini kwa mabosi wao wanafanyaje???
  HEbu ona hii Video :- [media]http://www.youtube.com/watch?v=RkK-8HdRB6o[/media]
   
 9. M

  Mama JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Sikonge asante, hii miwani ni ya kuitafuta. Ukiliwa na wewe kula.
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  jamaa mmoja alikaguliwa kwenye kiwanja kimoja che ndege kila akipita alamu ialia akaambiwa avue mkanda akavua bado tu....akaambiwa avue viatu lakn bado tu.....alikuwepo mwanadada ndio yuko getini jamaa ikabidi avue sarawili mambo yote hadharani.....yule mwanadada aligeuza macho.....ina maana kuona vitu live ni tofauti na miwani aliyouwa kaivaa

  Anyway....Inauzwa wapi wadau si vibaya na mimi nikiipata
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Nilidhani maendeleo ya sayansi na technologia ni moja kati ya mambo yanayopelekea binadamu kustaarabika (civilisation). Kwa mfano maendeleo ya technolojia yamepelekea utengenezaji wa nguo ambazo binadamu akizivaa pamoja na mambo anahesabika mmoja wa wastaarab.

  The reverse is now true, technolojia hii inaondoa kustaarabika kwa kuwa unaweza kuwa uchi hata kama umevaa nguo. Technolojia imeondoa privacy, kuanzia chumbani hadi kwenye mawasiliano ya simu. Naona scientists have to innovate something to reverse these negative effects of technology.
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mhh nina wasiwasi na hii report, embu tupe link labda ya hiyo miwani, sidhani kama inaexist.
  Hizo scanner za airport sawa nakubali zipo.
   
Loading...