muwa ni tunda mbegu ni vile vigingi/vipingili vigumu
Ni perennial grasses !
Grass maana yake si ni majani sasa inahusianaje na Muwa?
du bado njia panda mkuu
Grass maana yake si ni majani sasa inahusianaje na Muwa?
nataka kuamini ulichoandika maana kuna logic katika contents za mchango wako.muwa sio tunda kwani tunda linatokea kwenye ua. Na tunda lazima liwe na mbegu kwa sababu tunda ndilo linalotokeza kizazi kingine( sexual reproduction). Kwa hiyo muwa tunaokula ni shina. Kama mjuavyo kwenye mimea, kutegemea na aina, tunakula kila sehemu ya mmea na sio tunda tu. Mfano, mihogo au karoti tunakula mizizi, mboga za majani tunakula majani na matawi, kwenye couliflower tunakula maua,nk.
Kuhusu classification, miwa iko katika grass famiy inaitwa poaceae, nafamily hii ni pamoja na miwa, mianzi, na aina mbalimbali za nyasi. Classifications za mimea kama ilivyo kwa wanyama hufanyika kwa kuzingatia maumbile na sio size ya kiumbe.
nataka kuamini ulichoandika maana kuna logic katika contents za mchango wako.
sasa tuuweke ktk kundi gani mkuu?
mkuu Kisayansi muwa sio tunda !
Sukari, glucose asilia kwa ajili ya kuongeza nguvu
Muwa sio tunda kwani tunda linatokea kwenye ua. Na tunda lazima liwe na mbegu kwa sababu tunda ndilo linalotokeza kizazi kingine( sexual reproduction). Kwa hiyo muwa tunaokula ni shina. Kama mjuavyo kwenye mimea, kutegemea na aina, tunakula kila sehemu ya mmea na sio tunda tu. Mfano, mihogo au karoti tunakula mizizi, mboga za majani tunakula majani na matawi, kwenye couliflower tunakula maua,nk.
Kuhusu classification, miwa iko katika Grass famiy inaitwa Poaceae, nafamily hii ni pamoja na miwa, mianzi, na aina mbalimbali za nyasi. Classifications za mimea kama ilivyo kwa wanyama hufanyika kwa kuzingatia maumbile na sio size ya kiumbe.
tunda ni nini????
define
what is seed also???
by the way muwa unakua kwa asexual repr ndo maana kuna contradiction nying sana kwa watu wasiojua
Mkuu, nikurekebishe kidgo. Fruit kuita fruit si lazima liwe na mbegu za kuendeleza uzaz n specie husika. Kuna baadhi ya matunda hayana mbegu kabisa.
Tuje kwenye topic. Kama ulivyosema huwa tunakula matunda, mziz, majana hata sterm...sasa mua lipo kwenye kundi la shina