Miungano Mizuri ya Wenzetu Scandinavian | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miungano Mizuri ya Wenzetu Scandinavian

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Aug 5, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1][/h][​IMG]
  Written by zamko // 05/08/2012 // Habari // No comments


  Assalamu alaikhum ndugu Wazanzibari na Wazalendo wa blog hii popote mulipo.. Nimekua nikifuatilia Mashindano ya Olimpic kule UK. Na niliona timu ya Tanzania-Tanganyika iliingia uwanjani na watu wasiopungua 10-13 (kama sikosei). Lakini hakuna Mzanzibari hata mmoja ninayemjua au kumfahamu katika timu ile ya Tanzania.Sasa hapa ninaweza kupata majibu kwayule anaejua.
  Hivo Zanzibar au Wazanzibari hawana Michezo yakuwakilisha Olimpic Game?
  Kwa Upande wa wenzetu wenye Miungano inayokubalika Duniani ni Scaninevian Countries.Hizi ni nchi 4 Norway, Sweeden, Denmark na Finland. Hawa wameingia na timu moja ya Muungano wa Scanadinavian ambayo inajulikana kwa jina la “NORMAND” . Hii timu ya Normand ni watu wenye fani mbali mabli za sports na wamekua sponsered na Muungano wao wa Scandinevian. Na hapa kila Nchi katika nchi hizi 4 zimetoa mtu 1-2.
  Na vile vile wako na Individuals team ambazo zinawakilisha nchi zao. Mfano Denmark wameingia na kundi lao ambalo linawakilisha Denmark kama Nchi na sio sehemu ya Scandinavian.
  Norway nao hivo hivo, Sweeden halkadhalika na Finland hawakua nyuma.
  Jee cc wazanzibari tunaoambiwa (ati) tunamuungano wa Damu na Usaha.. Kwanini Wenzetu waliokua ni ndugu wamechukua Watanganyika watupu? Na ubaya uliopo mmoja wa Watanganyika jana alishindwa kuruka kihunzi alipofika ndani ya Uwanja na alianguka akachukuliwa kwa wheelchair.
  Sio hivyo tu tokea mashindano yaanze wiki moja na robo sasa sijamuaona hata Mtanganyika/ Mtanzania mmoja aliewakilisha Tanzania. Siajabu wamekuja Madukana na kutembelea jamaa zao waliokimbia kama Wakimbizi wa kisomali.
  Kwani hivyo ndivo wanavotufanyia huitwa kwenye mikutano ya Kibiashara kwa jina la Tanzania wakaja wao tu Watanganyika na wakawa hawahudhurii katika Vikao hivyo. Ushahidi tunao ..
  Naomab wenzangu munaofuatilia OL -London muniambie kama nimekosea na kama mumemuona Mtanzania/ Mtanmganyika katika mashindano ya OL.
  Katika OL ya mara hii wallahi nimeona Nchi nyengine ambazo ni ndogo kuliko Zanzibar lakini zinajulikana International cc wazanzibari Tumegubikwa Kaniki la Muungano na Viongozi wetu hawasikii hawaoni. Ndio hao akina Mwindadi hivi sasa wanataka fedha ya Misaada ya Zanzibar iliwe katika account ya Tanganyika-Chambilecho Muungano. wasaliti tunao na wala hawaoni kwani yao yanawaendea.
  Nivizuri Watanganyika wafikiri kweamba Wazanzibari wandai haki yao ya Kikatiba na Msingi na wanaidai kwa njia ya Amani kabisa. Bado wanaendelea kutu-tirubua na kutuzungusha.. Kuna siku Wazanzibari watachoka kustahamili na watakapo amua Basi Hata Bara hakutakalika.
   
 2. M

  Msajili Senior Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwani Uamsho wanajua michezo gani zaidi ya kumwagia wenye kuuza Pombe tindikali?
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Kwanza... HIYO PICHA uliyoiweka ilikuwa wakati wa Majaribio... PICHA ya wakati wa UFUNGUZI ni hii HAPA

  311590_334156733336310_1687454565_n.jpg


  B. The Scandnavian Countries they are not that kind of UNION in OLYMPICS both are participating separately

  Denmark, Norway, Finland and Sweden both enter Individually

  C. GREAT BRITAIN is the one which U can call is the same as US -Tanganyika and Zanzibar

  Great Britain includes - United Kingdom; Scotland;Wales and Northern Ireland *** IRELAND is FREE INDEPENDENT

  Kama Mlikuwa Mnaangalia Mpira Wa Miguu kwa Wanaume; Great Britain Team walikuwa wanacheza Games zao

  Scotland na Wales; Games za Scotland wimbo wa TAIFA wa GREAT BRITAIN ni GOD BLESS THE QUEEN na Scotland

  Hawaupendi na Wachezaji Wascotish kama Craig Bellamy haimbi wimbo; Waandishi wa Habari sio kama wa BONGO

  Waoga hawaulizi Maswali Magumu, Wakamuuliza kwanini haimbu akasema ni personal thing... na pia Ryan Giggs yeye ni

  from Wales pia Haimbi wimbo wa Great Britain yeye anasema huwa haimbi wimbo wa taifa...

  Scotland wana referendum Mwakani kuchagua kubaki Great Britain au kuondoka na kuwa huru....

  Lakini Serikali ya UK inapeleka Misaada haswa kuhakikisha wanabaki...


  ** KWAHIYO WEWE NA STORY YAKO SIO YA UKWELI... JARIBU KUSOMA KWANZA KABLA YA KUWEKA HABARI

  HIZO
   
 4. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  wazanzibar wanachojua ni kulaum,vurugu na kutaka kuvunja mungano kila kitu kinachofanywa na bara lazima wakipinge na kukihusisha na mungano, km michezo hamna wanaoufaham ila wanataka wawepo kwenye tim ya tz. Subilini mtawekwa kwenye timu endapo mchezo wa kuchoma makanisa utawekwa. Acheni kulalamika fanyeni kazi
   
Loading...