Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

Ndio maana mwenye wilaya yake na kamati ya ulinzi imetolea ufafanuzi..Kippi Ana Hekima Sana kuliko Hilo tutusa Sabaya maana ni Baya Kama jina lake..Hana adabu hata kdg..mama Mghwira wanamchosha Sana ..

Sijuhi wanaokotwaga kwenye majalala ya wapi tu hawa??
Alafu ukute wanamtishia JPM kuwa wao ni TISS hivyo anawaogopa kufa!!!
 
Kwanza nataka nikuambie suala la reli kuhujumiwa halijaanza kuzungumzwa na dc wa hai Juzi ,
TRC wakati wa sikukuu walianza kulia mapema wakidai wanahujumiwa kwenye reli lakini watu wakaaa kimya ,

Amesema juzi Dc wa Korogwe hujuma izo izo za reli mkoani tanga,Imetokea ivyo ivyo wilayani mwanga

Lakini aliposema sabaya imekuwa nongwa imewaumaa sana baadhi ya watu

Lakini tijiulize kwanini dc Sabaya kwake imekuwa na muwasho imekua na inawakunakuna watu mahali imekuwa imachoma kama shubiri?

Hii yote ni jinsi dc huyo anavyotenda kazi zake zinazoonekana,zenye logic,Zenye maelezo yaliyoshiba
Na ndio kinachowawasha watu fulani hasa wahalifu wa nchi hii.

Mimi nitoe hongera kwa Dc Sabaya kwavkuendelea kuwaadabisha wahalifu bila kujali kelele zao wala vibaraka wao,

Dc @⁨🇲 🇭 🇪 🇩 🇨 🇸 🇦 🇧 🇦 🇾 🇦⁩ chapa kazi kaka Tanzania imechelewa sana na wengi walihusika kuchelewesha walikuwa wenzetu hata ndani ya serikali na chama ,,,,,Kanyaga Twende tumechelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Ole Sabaya alitaja wamiliki wawili wa mabasi. Lim Safari na Machame kuwa ndio wahusika pamoja na wengine. Kulikua na haja ya kuwavunjia heshima kabla ya uchunguzi kufanyika? Kwa nn asingeacha jeshi la polisi lifanye kazi, watuhumiwa wapelekwe mahakamani, mashahidi wafanye yao, ndio watu watajwe sasa kuwa ndio wahalifu wa isue hiyo? (HAPA UNAGUNDUA KUWA LAKE LIMEZUNGUMZIWA KWA SABABU TAYARI ALITAJA WATU WANAOHUSIKA, KWA MAJINA YAO NA YA KAPUNI ZAO) Na zaidi akasema hana mashaka na taarifa hizo.

Leo Salum Hamdun (Kamanda wa polisi mkoa, anasema uchunguzi wa awali unaonesha hakuna swala kama hilo)

Mhandisi Ujenzi shirika la Reli, Mery Masawe nae anasema ujenzi unaendelea vizuri.

Ole Sabaya alikurupuka tu. Yeye pia anaweza kutuma watu wakafanye hayo aliyozungumzia. Kwa sababu tumezoea hawa viongozi wa staili ya KUTENGENEZA TATIZO, WANALITATUA TATIZO WALILOTENGENEZA NA MWISHO WAPATE UMAARUFU.

Mwisho nikuulize tu swali la kizushi mkuu

Hao wengine waliozungumzia swala hilo walitaja wahusika kwenye media?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi za Sabaya nyingi ni za kipuuzi tu. Wangapi wanafanya kazi na wasipingwe bhana?

Nyie mnaona kazi kisa eti kila siku anawekwa kwenye media na hayo mauongo yake.

Kwa nn DC wa Kisarawe asipingwe? Au yeye hafanyi kazi.

Tunataka waleta maendeleo siyo watafta kiki.

#Lugola tayari, bado Sabaya na watafta kiki wengine nchini

Kwanza nataka nikuambie suala la reli kuhujumiwa halijaanza kuzungumzwa na dc wa hai Juzi ,
TRC wakati wa sikukuu walianza kulia mapema wakidai wanahujumiwa kwenye reli lakini watu wakaaa kimya ,

Amesema juzi Dc wa Korogwe hujuma izo izo za reli mkoani tanga,Imetokea ivyo ivyo wilayani mwanga

Lakini aliposema sabaya imekuwa nongwa imewaumaa sana baadhi ya watu

Lakini tijiulize kwanini dc Sabaya kwake imekuwa na muwasho imekua na inawakunakuna watu mahali imekuwa imachoma kama shubiri?

Hii yote ni jinsi dc huyo anavyotenda kazi zake zinazoonekana,zenye logic,Zenye maelezo yaliyoshiba
Na ndio kinachowawasha watu fulani hasa wahalifu wa nchi hii.

Mimi nitoe hongera kwa Dc Sabaya kwavkuendelea kuwaadabisha wahalifu bila kujali kelele zao wala vibaraka wao,

Dc @⁨🇲 🇭 🇪 🇩 🇨 🇸 🇦 🇧 🇦 🇾 🇦⁩ chapa kazi kaka Tanzania imechelewa sana na wengi walihusika kuchelewesha walikuwa wenzetu hata ndani ya serikali na chama ,,,,,Kanyaga Twende tumechelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom