Miundo mbinu ya usafirishaji na mawasiliano tanzania, je analenga kuwakwamua wananchi kiuchumi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miundo mbinu ya usafirishaji na mawasiliano tanzania, je analenga kuwakwamua wananchi kiuchumi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by hengo, Aug 3, 2011.

 1. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wakubwa.Leo ilikuwa siku ya mjadala wa bajeti ya Uchukuzi, malumbana yalipamba moto kwa wabunge wavyama vyote kueleza usimamizi duni wa wizara hiyo, na ndipo mbunge wa Ludewa Mhe.Deo akaweka bayana kuwa ni bora Waziri moja afe kuliko wananchi kuendelea kupoteza maisha kutokana na miundo mbinu duni husani barabara na reli.Je, nini maoni yako wewe juu ya hali ya miundombinu kama mwanaharakati na mzalendo wa Tanzania?
   
Loading...