mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Huwa nashangaa sana, kua watu wanatumia effort kubwa sana kumpata binti, atahonga mpaka gari na nyumba.
My brother, wanawake hawataki vitu tangible ili kukupenda. Mabinti wa sasa 90% wanahitaji kudanganywa tu na maneno matamu, maneno kuntu, maneno promising, ukithubutu kumueleza ukweli tu wa maisha yako na jinsi hali ya maisha ilivyo ngumu kwenye anga la Tanzania kwa sasa, nikueleze tu kila siku utaangukia pua. Sasa kuanzia leo cheza na neno "NDOA" tu hapo utaiona miujiza yake.
Nimeona nitoe short seminer kwa vijana wa nyakati hizi, niwapunguzie machungu ya kutongoza kwa nguvu kubwa.
Atakayefanikiwa asiache kunitafuta kunipa mrejesho.