Miujiza ya neno " ndoa" katika kumpata mwanamke wa sasa

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,998
2,000
Huwa nashangaa sana, kua watu wanatumia effort kubwa sana kumpata binti, atahonga mpaka gari na nyumba.

My brother, wanawake hawataki vitu tangible ili kukupenda. Mabinti wa sasa 90% wanahitaji kudanganywa tu na maneno matamu, maneno kuntu, maneno promising, ukithubutu kumueleza ukweli tu wa maisha yako na jinsi hali ya maisha ilivyo ngumu kwenye anga la Tanzania kwa sasa, nikueleze tu kila siku utaangukia pua. Sasa kuanzia leo cheza na neno "NDOA" tu hapo utaiona miujiza yake.

Nimeona nitoe short seminer kwa vijana wa nyakati hizi, niwapunguzie machungu ya kutongoza kwa nguvu kubwa.

Atakayefanikiwa asiache kunitafuta kunipa mrejesho.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
33,728

Hahahahahahah we jamaa umenimaliza mno na hii post yako kabambe!!!
 
byongo

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
824
1,000
Ndo wanaume mnavyadanganyana eeehhh...mxieew!!!

Hahah how stupid,mwanaume muoaji unamuona hata kwa matendo,
Anaetaka kukuoa hatokwambia uhamie geto kwake wala uanze kumzalia akuoe..utamuona tu muoaji na m'babaishaji utamuona tu..

Unakutana na mtu ana watoto wawili Wa mama tofauti afu bado linakwambia nzalie ntakuoa...looh!! (Mbona hukuwaoa ulowazalisha?!)
Unaonekana umetoka kolomije Leo,!!!
 
Mm sina Mtoto .. nitafute nitakuoa ...hahahaha.... povuuuu inaonekana hizo ahadi za kuolewa zishakuumiza sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom