Miujiza iliyotoke nchini India Chui ashindwa kumshambulia Ng'ombe

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
India.jpg
india 2.jpg
india 3.jpg
india 4.jpg
india 5.jpg


WAMEKUWA MARAFIKI KATI YA CHUI NA NG'OMBE KAZI KWELI IPO HAPO.
 
kwa kawaida chui huwa hakamati wanyama wakubwa, lkn pia hata wewe binaadamu ukikutana na simba mathalani ukabaki mnatazamana uso kwa uso usipoonyesha kumuogopa , kinachotokea pale ni simba kujiondokea, huyo ng'ombe hapo pamoja na kumuona chui lkn hakusituka inaweza kuwa ni sababu pia ya chui kutofanya lolote , ukiacha hiyo sababu kubwa ya kutokamata wanyama wakubwa
 
Hapo kuna mawili, moja inawezekana hao walifugwa pamoja tangu watoto hivyo wamezoeana kutokana na kukua pamoja, pili India wanaamini ng'ombe ka moja ya miungu yao hivyo kiimani inawezekana
 
Huyo Chui atakuwa ni wa kihindi si unajua jinsi wahindi walivyo nale,mlete huyo ng'ombe TZ halafu uone kitakachotokea, haijalishi kama watakuwa wamekuzwa pamoja au Ng'ombe ni mkubwa ni lazima atafanyiwa kazi tu.
 
Back
Top Bottom