Mitsubishi Shogun Sport/Challenger mashine ambayo wapenda magari ya off road Tanzania hawajaishtukia

Hii ndyo maana unakuta wasomi wengi wanamiliki vi lava 4 vya zanani sababu wanaogopa riski kama hiz. Mara nyingi naona wafanyabiashara ndyo wanamiliki magar ya hatare. Mfano unakuta mji mmoja hammer ni 1 au 2 tu. Ila gar kaimiliki toka ipo no A na leo inadunda road kama mpya. Spea wanatoa wapi?

Kama huna pesa utabaki kuendeza vi baby walkers tu ambavyo survival chance ukipata ajar ni ndogo sana ukilinganisha na SUV.
Wafanyabiashara wengi hawana shule tena hao ndo akiliwameshikiws mmoja wao akinunua kluger au harrier wote wananunua kluger au harrier
 
Hii ni moja ya gari ngumu kuhusu mafundi wapo wengi kwa matoleo ya nyuma.

Maana engine ina ingiliana na Canter zenye 4M40, 4D56 na Canter zipo nyingi karibia kila mkoa sidhani kama fundi hutakosa.

Ila kwa matoleo ya kisasa hizi Mitsubishi zimekuja na engine tofauti, zinakuwa na mfumo wa m-itek sawa na vvti hapo ndio utapata tabu kwa mafundi.
 
Hiyo old model nimewahi ongozana nayo rough road ya Sumbawanga-Mpanda - Kigoma.
Kipindi cha nyuma ambapo barabara ilikuwa haujaboreshwa.

Gari ilikuwa inakimbia na kufukia mashimo bila tatizo.
 
Haijalishi.

Ntalipakia kwenye fuso kulirudisha nyumbani kwangu.

Kukosekana kwa spea haimaanishi wote tutumie Vitz au Spacio.

Being different comes with costs, including the one you said.
Wewe upo tayari mzee. I respect that.

Ila hatufanani. Wengine hawapendi kupoteza muda kulipetipeti gari kwa sababu ya kuwa 'unique'.
 
Wewe upo tayari mzee. I respect that.

Ila hatufanani. Wengine hawapendi kupoteza muda kulipetipeti gari kwa sababu ya kuwa 'unique'.
Tanzania nzima tukitumia Rav4 hakutakuwa na garage za gari za Europe.

Huoni Subaru tu zinavyosumbua watu?
 
Tanzania nzima tukitumia Rav4 hakutakuwa na garage za gari za Europe.

Huoni Subaru tu zinavyosumbua watu?
Kweli.

Lakini kwa kuwa wengi wetu ni watu wa kuunga unga, kwa mazingira ya hapa, watu wanasettle for less... i.e. convinience.

Ila ofcourse tunahitaji watu kama nyinyi m-take risk ili mchangamshe supply ya hizo gari, mafundi na spea zake.
 
Hii gari ndio ilimuua Lisa Lopez (Left Eye) wa TLC wakati anatoka Honduras. Personaly sio fan wa Mitsubishi gari zao za matumizi ya kawaida zimenikalia kushoto hasa SUV zao kama pajero n.k. Tutatumia Fuso na Canter tu naona ndio zipo vizuri.
Hata mm Mitsubishi SUV zao sizikubali kabisa.
 
Hii gari ndio ilimuua Lisa Lopez (Left Eye) wa TLC wakati anatoka Honduras. Personaly sio fan wa Mitsubishi gari zao za matumizi ya kawaida zimenikalia kushoto hasa SUV zao kama pajero n.k. Tutatumia Fuso na Canter tu naona ndio zipo vizuri.

UMENIKUMBUSHA MBALI SANA

1097971
1097972
 
Ni umasikini tu ndio unaosababisha watu wamiliki magari ya toyota.
Because they are cheap to run! only that!
No sio umasikini. Magari ya Toyota ni reliable. Ndio maana Land Cruiser 100 series ya mwaka 2001 au 2002 thamani yake ni kubwa zaidi kulinganisha na Range Rover, Nissan Patrol or Mitsubishi Pajero ya mwaka huo.
 
Wakuu, mwaka huu nina ndoto ya kununua gari, mpaka sasa nina M 8 natarajia nifikishe M 12 by November ili niingie sokoni. Natamani sana gari hizi Tatu, AUDI A-3, MAZDA AXELA au VOLTS.
Naomba ushauri ni gari ipi itanifaa kwa budget hiyo
 
Uthamani wa kitu unasababishwa na mambo mengi.
Toyota ist kuuzwa bei sawa na nissan xtrail haimaanishi Ist ni bora kuliko xtrail bali vipo vingi vinachangia,
Hiyo land cruiser unayoitaja:-
1. ina mafundi wengi wanaoiweza kuitengeneza, sio complicated ukifananisha na vyuma vingine kama ulivyovitaja
2. spare zipo za kumwaga na bei ni reasonable, unaweza kuinunua kwa bei kubwa lakini ukapata unafuu wa kuimaintain.
Hali hii inapelekea watu wengi kuzinunua na hivyo kupandisha uthaman wake, kumbuka the higher the demand..............
Ukiwa na uwezo wa kumiliki range rover hautotaman kumiliki hizo toyota ndg yangu kinachotushinda ni ugumu wa kumiliki hizo gari(umasikini). Hivi haujiulizi hao wakina maywhether an the like wanaweza kuwa hata na magari 50 lakini usikute hata toyota moja na kama zipo basi ni za kuhesabu, kwani hawazioni?
 
Toyota does not break easily in tough conditions.

Hii ndio inapelekea gari zake kupendwa zaidi but drawback ni kuwa Toyotas are never fun cars to drive...they used to lack the fancy cosmetics that make driving more plasurable japo kwa sasa wameimprove as their trim of luxuries can somehow keep pace with other car brands such as the German autos. (BMW, AUDI, MERCEDES,VW n.k) hasa hasa Lexus brand.

Hao ma star wananunua gari kwa badge ama price tag ilio kubwa sokoni, they don't care about reliability issues and maintenance costs in the long run. They have way more cash to take care of that. Ila kwa mwananchi wa kawaida hata marekani ukifuatilia utaskia "i rather have a Lexus than a BMW." Why? "Because it spends more time on the road without issues"

Mjerumani ni trip moja shamba moja gereji na huna hakika kama itakupumzisha na zile taa za check engine. Mvua zimefululiza sana kaitie kwenye maji ya Jangwani BMW na IST kwa week tu halafu uone nani atahitaji diagnosis. Gharama itakuwa bei gani kubadili sensor zilizokufa kisha utaelewa kwa nini watu wanajazana kwenye Toyota.

Kitu nachoweza kushauri walau watu mnunue Luxury division ya Toyota (Lexus) you will atleast enjoy the same kind of excitement kama ya German autos japo itahitaji hela nyingi at first ila maintanance ni headache free. Hazisumbuagi.
 
Wakuu, mwaka huu nina ndoto ya kununua gari, mpaka sasa nina M 8 natarajia nifikishe M 12 by November ili niingie sokoni. Natamani sana gari hizi Tatu, AUDI A-3, MAZDA AXELA au VOLTS.
Naomba ushauri ni gari ipi itanifaa kwa budget hiyo
Kama hela ya Kununua vipuri vya Audi ipo thats the best choice ila kama unataka gari isiyokuumiza sana kwenye maintenance ingia kwenye Voltz.
Kuhusu mazda usitie pua humo, hamna gari japo body lake tamu linavutia ila itakutesa!
 
Back
Top Bottom