Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi hapa nchini takribani miezi 18 sasa. Usajiri wake : T......BBR

Bei ninaanziaTSh 55m (mazungumzo yapo). Linapaki Mbuyuni-Kunduchi along Bagamoyo Road. Linauwezo wa kupepa 25ton ni kwa ajili ya kazi zote nzito nzito kama ulivyozitaja baadhi yake hapo juu. Ninaliuza kwa sababu ninahitaji fedha ya kuongezea maana nimeamua kwenda kufanya PhD-UK na nitajilipia gharama zote. Nimehangaika ninatafuta sponsor...lakini wapi...nikaona ni vema niachie huo mtambo. Ni truck zuri sana....japo huwezi kuamini.
Please give a try to link up with me if at all you are really serious (E-mail: fuso2015@yahoo.com).
Ukiona mtu anauza gari ,weka shaka kabla ya kulikimbila,wengi akilifanyia kazi likachoka akagundua tatizo kubwa la kiufundi ambalo gharam ya repair ni kubwa,basi anali dispose off.
Ukiona mtu anauza gari ,weka shaka kabla ya kulikimbila,wengi akilifanyia kazi likachoka akagundua tatizo kubwa la kiufundi ambalo gharam ya repair ni kubwa,basi anali dispose off.
Huo ni mtazamo wako binafsi, ambao sina shaka ni mtazamo hasi katika dunia ya leo. Kwani ni watanzania wangapi wanauwezo wa kununua magari mapya....na ambayo yanauzwa na watu anyway. Hata huko Japan, magari haya haya yametumiwa na watu na pengine wanaamua kubadilisha au ni shida tu katika maisha ya binadamu. Kuuza kitu hususani gari, si kweli wakati wote kwamba gari lina shida kiasi kwamba halitengenezeki. Watu tuna mipango, mahitaji na mambo mengi ya kutaka kufanya....na hivyo kuuza kitu kama gari siyo kwa mtazamo wako huo.
Kwa yeyote anaelihitaji ni vema tukawasiliana ili aje na fundi wake walikague. Incase kuna chochote atakachokuta ni kibovu kwenye gari hilo nitaki-replace before disposal....kama kweli akiwa serious buyer!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.