Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Mitsubishi Chariot yenye injini ya Toyota Rav 4....3s inauzwa. Ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha. Ina muziki mzito. Ina nafasi kubwa ndani kiasi cha kubeba familia ya wastani. Rangi yake adimu. Inauzwa 11mil. maelewano yapo. kwa maelezo ya ziada piga simu na 0717114409.