Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,348
Heshima kwa kila mmoja wenu,
Wajuzi wa magari, naomba wenye uelewa zaidi ya hili gari dogo la Mitsubish Galant Fortis...Zipo za mwaka 2008, 2009, 2010 na kuendelea.
Nyingi zinakuja na injini ya cc 1790 mpaka 1990 petrol.
Binafsi naona ni gari la Kijapani lenye muoneka unique ladha tofauti machoni ukilinganisha na muonekano wa kawaida kawada ambao tumezoea kutoka kwenye magari ya kijapani.
Muonekano wa gari hili, ndiyo ladha pekee kutoka Japani inayonipendeza kwa haya magari ya chini ya cc 1990. Muonekano wake haujakaa yeboyebo kama tulivyozoea magari mengine.
Pia inaonekana ni gari ya performance kuna zenye turbo na zisizo na turbo.
Interior look yake inapendeza sana unaweza ukadhani ni BMW ile sura ya pale mbele ndiyo imekaa kibabe haswaa...imekaa kiume.
Kwa sasa zipo nyingi beforward ila bei yake imesimamia kucha kidoogo.
Nitakapotaka kubadilisha gari, this is my next car hofu ya spea itajiweka sawa yenyewe wakati huo litakapokuwa linadai spea. Najua watu wengi watalikubali sana hili gari ila hofu ipo kwenye speMiliki chombo, woga wa spea unatunyima ladha tamu sana
Dear Mitsubish Galant, I wish to see in my parking lot in the next few years kama si wewe, basi nitaendelea tu na Nissan Tiida au Subaru Impreza.
Have a nice day, Mitsubish Galant..