Mitihani ya shule za sekondari yahairishwa Nigeria kutokana ghasia zinazoendelea

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,527
2,000
Waandamani wanataka amabadiliko kamili


Waandamani wanataka amabadiliko kamili,

Nigeria imehairisha mtihani wa taifa kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho huku ghasia zikiendelea kati ya waaandamani wanaopinga unyama unaotekelezwa na polisi na maafisa wa usalama nchini humo.

Mji wa Lagos na sehemu zingine nchini humo zimeshuhudia majengo yakichomwa moto, maeneo ya kibiashara yakiporwa na magereza yakivamiwa tangu waandamanaji walipopigwa risasi Jumanne.

Barazal la Taifa la Mitihani (Neco) limesema uamuzi wa kuahirisha mitihani pia umetokana na hatua ya baadhi ya majimbo kuweka amri ya kutotoka nje.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom