Mitihani ya kidato cha nne na cha sita kwa watahiniwa wa kujitegemea huwa unasahihishaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitihani ya kidato cha nne na cha sita kwa watahiniwa wa kujitegemea huwa unasahihishaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Malyenge, Feb 2, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  Hi JFs,
  Naomba nieleweshwe,....watahiniwa wa kujitegemea huwa wanapata maksi za chini sana (tukiacha suala la ukilaza). Nilijaribu kuulizia sababu lakini nikajibiwa na watu ninaoamini sio wataalamu sana maana walinijibu kuwa kuna formula inayotumika katika kuhesabu marks kwa watahininiwa wa kujitegemea eti kwa sababu hawana continuos assessments. Naomba mwana JF anayeijua formula hiyo aiweke mtandaoni ili sote tujue nikiwamo
   
 2. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hakuna formula yoyote, wanafeli kwa kukosa maandalizi tu. Continuous assessment hazimsaidii candidate kufaulu or else walimu wangewajazia wanafunzi wao marks za juu ili waweze kufaulu.
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wale ni watu vilaza sana ndio mana wanakuwa private candidate
   
 4. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  niliwahi kusikia eti D kwao inaanzia 35-50, C ni 51-65, B 66-80, A 81-100.

  Ndio maana hata kupata D kwao mbinde.
  Ila sina hakika sana.
   
Loading...