- Thread starter
- #21
soma swali ulitafakariCell organelles linaulizwa form ngapi?
Sote tunaijua Bios, haijawahi kuwa Ngumu kwa kuangalia.
Ila kaa chini sasa ujibu, wakusahishie ndo utajua hujui.
soma swali ulitafakariCell organelles linaulizwa form ngapi?
Sote tunaijua Bios, haijawahi kuwa Ngumu kwa kuangalia.
Ila kaa chini sasa ujibu, wakusahishie ndo utajua hujui.
Mimi nilipata MD; MUHAS na KCMC nikiwa na D la Biology.Upate MD na D la chemistry?
Yes zamani ndio ulikuwa mwendo... siyo AAA, BBB, BBA etc kama sasa hiviUpate MD na D la chemistry?
Mama yako umemuona??limbukeni mama yako, sitaki matusi. Jibu hoja acha ad hominen arguments
Wewe hujui kitu, kama unasema biology hiyo ni ngumu basi wewe bure kabisaYaani wewe ni limbukeni kikongwe! Sina haja ya kutafuta huo mtihani uliofanya.. Haina maana.
Let's do this, nikuulize umejuaje huo mtihani ni mrahisi? Nikuulize baadhi ya maswali humo?
mama yako ninaye hapaMama yako umemuona??
Inama chungulia chini
Show showmama yako ninaye hapa
mwaka huu ni nyingi tu.. hata ukienda CBG ziko tele2009
Acha wafaulu aisee, Biology yetu A, kwetu Iboru alipata mmoja tu , shule nyingine sijui ilikuwaje
Kuna maswali ya form one hapa. Wametuonea sana tuliosoma enzi za Kapuya!Nimekuwa nijiuliza kulikoni PCB mtu anafaulu na AAB, BBB, ABB and the like. Kumbe ni mitihani level ya kidato cha PILI na kidogo cha NNE
Angalia biology -2020: Maswali ya form 2... kidogo form 4!
A za biology huwa hazifikagi 30. Hakijabadilika kitu mwaka huu... Na kuhusu huo mtihani acha kupotosha kwa kusema ni kidato cha pili na nne. Aliyesoma Biology level yeyote hapo ataelewa ninachokiongea
Tawi la JALALANI.Na vyuo wana disco sana hao (Faculty of science pale DUCE)
Duh, mpaka nimeogopaNimesoma PCB hujazaliwa, you can imagine the ages I am talking about! Biology A level haiwi that much simple! Tafuta biology ya 1977....
Mkuu nahisi kama unapotosha umma lakni ikumbukwe mitihan ya mwak huu ilikuwa inahitaji ustadi sana wa kuchambua na kulielewa swali ili uweze kujibu la sivyo weng walijibu tofaut na swali (out of point) OPNimekuwa nijiuliza kulikoni PCB mtu anafaulu na AAB, BBB, ABB and the like. Kumbe ni mitihani level ya kidato cha PILI na kidogo cha NNE
Angalia biology -2020: Maswali ya form 2... kidogo form 4!
Uwezo t kiongoziMitihan nw days imekuwa nyanya sana, vitoto vya ajabu ajabu vinapata "A" ya PHY, ajabu.
Ni mtizamo t lakn kila mtihan unatungwa kutokana na matakwa ya watungaji ili kupima uwezo kwa kutegemea materials za kufundishiaNimesoma PCB hujazaliwa, you can imagine the ages I am talking about! Biology A level haiwi that much simple! Tafuta biology ya 1977....
Mm namshamgaa huyuu mwamba hapo ili upate lazima uandike majibu ya kikubwa biology unaweza iona raisi ikakutia mimbaA za biology huwa hazifikagi 30. Hakijabadilika kitu mwaka huu... Na kuhusu huo mtihani acha kupotosha kwa kusema ni kidato cha pili na nne. Aliyesoma Biology level yeyote hapo ataelewa ninachokiongea
Mkuu zamani mlisoma wachache...Mimi nilipata MD; MUHAS na KCMC nikiwa na D la Biology.