Mitihani ya darasa la saba kusahihiswa kwa mashine 2012. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitihani ya darasa la saba kusahihiswa kwa mashine 2012.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mchome ray, Apr 22, 2012.

 1. M

  Mchome ray Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katibu mkuu Necta Dr.ndalichako ametangaza hivi karibuni kuwa mitihani itasahihiswa kwa mashine maalumu kuanzia mwaka huu,ametoa sababu nyingi ikiwemo gharama kubwa kipindi cha usahhshaji.hoja yangu hapa nikwamba kipindi cha nyuma chenyewe wanafunzi walikuwa wanajaza majbu kwenye vibox mfano A.B nk.mfumo huu ndio zao la wanafunzi wengi wasio weza kuandika na kusoma katika shule za sekondari nchini,kutokana na hili tulitegemea mwaka huu waongeze kipengele kimoja ambacho mwanafunzi atasoma na kujbu na kingine awekewe kibox cha kuandika maelezo(maneno 30 au 50)angalau ili necta waweze kuona mwandiko na kujirizisha.Lakini wao badala ya kushuhulika na changamoto hizi wana leta mashine ambazo kabsa mtihami wote utakuwa objectives kisa hakuna fedha wakati watu wanatumbua mabilion ya pesa za elimu.ubinafsi na kutokufikiria kuhusu kizazi kijacho kitaangamiza taifa hili.naomba kuwasilisha.
   
 2. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa kusema mashine nadhani itakuwa inahusisha some kind of a software! Je imefanyiwa majaribio na kuona ndiyo suluhisho la matatizo ya usahihishaji wa mitihani?
  Waziri Mkuu mheshimiwa saaana Pinda ktk maswali aliyoulizwa kuhusa fedha za chenji ya rada ktk kikao kimojawapo cha bunge,alitanabanisha kwamba ni kweli fedha hizo zimeshapokelewa na kipaumbele ni suala zima la Elimu...shida yetu kubwa sisi watz ni utekelezaji wa ahadi hizi za viongozi wetu!!!
   
Loading...