Mitihani form two ifutwe!

Jickson Nkulikwa

Senior Member
Nov 13, 2016
104
52
Napenda kuweka maandiko yangu hapa kuishauri wizara ya Elimu,sayansi ,technolojia na ufundi,kuwa mtihani was form two ufutwe badala yake walimu wapewe mamlaka ya kuchuja kila darasa kuanzia form one,nimetafakari hili kwa kuangalia shule za binafsi wana walimu wa kuhamahama lakini bado kidato cha NNE serikali inashika mkia wakati Ina walimu wengi na wa kudumu,nikagundua kuwa sisi tunaangslia quantintatives kuliko qualitative change.mh.Ndalichako tafakari hili tuchague mbegu bora mapema kuliko kupanda mbegu madamu mbegu tukitegemea bahati kuota kwake,Siamini kabisa shule za serikali kushika mkia tusipofanya hivi elimu bure itakuwa Bure kweli kweli . tunapokea watoto lukuki kusoma hawajui wala kuandika majina yao..sekondari hizi ni za UPE? Duu! Walimu sekondari tusipewe lawama badala yake wizara ilaumiwe!! By mwl.Nkulikwa Jickson E. Ahsante.
 
Kwa sasa ndugu elimu yenu ni kama mchezo wa kamali , wamefuta mchujo na watoto wanalijua hilo unadhan morali ya kusoma inatoka wapi ? Serikali inachangia kwa sehemu kubwa kuua elimu
 
Wao walipata elimu nzuri sana na bora na yenye tija lakin leo wao wanabomoa elimu ule mtihani wa drs la nne nao hauna tija sio kama zamani zetu ukiferi lazima urudie siku hzi hamna hyo na wa form tu ndio kama hvyo hii elimu sijui inaelekea wap wacha mapicha mapicha yaendeleee
 
Hiyo mitihani haina tija tena eti kila mkoa utasahisha kivyake hizo pepa
 
Back
Top Bottom