Miti shamba/mizizi ina nguvu katika mapenzi?

Nina wasiwasi na huyu jamaa mbona anashabikia sana hii mada?Fidel80 tueleze ukweli unatumia nini mwenzetu.

Fidel mbishi kweli, akikomalia kitu kakomalia, ha2mii lolote wala haziamini ana hamacsha mjadala tu hapa.
 
Fidel mbishi kweli, akikomalia kitu kakomalia, ha2mii lolote wala haziamini ana hamacsha mjadala tu hapa.

Nyamayao nakwambia mzee akitoka nitafute nikupe mzizi ikifanya kazi ndo utanilipa nikamlipe Dr.
 
We umeweka wazi.
Kweli watu wanafanya hivyo ni wazi kabisa na zinafanya kazi kabisa.

Kuwa watu wanafanya ndo uthibitisho wa kuwa zinafanya kazi ni jambo la ajabu kabisa. Unakubali kuwa kitu kinafanya kazi kwa kuwa watu wanafanya?

Nimesema kwa hili la mapenzi linathibitika. Kathibitishe. Unda ajenda yako mwenyewe. Unataka mkeo akitembea na mwanaume mwingine huyo mwanaume ashindwe na jogoo wake asiwike. Au kama wewe mwanamke, unataka mumeo akienda kwa wanawake wengine jogoo wake ashindwe, awe anawika kwako tu. Nenda kwa mganga. Kila utakayekwenda kwake atakwambia anaweza. Subiri uone matokeo!!!

HUTARUDI!!
 
si mchezo nyamayao, haka kaishu kapo,kamchezo haka kapo tanga zaidi, dawa zipo na kweli zinafanya kazi ila kama walivyotangulia kusema wengine zina mwisho wake, hivyo siona umuhimu wa kutumia kitu kitakachokufanya uwe mnyonge na ufanyiwe unyonyaji na waganga, naona ni ukosefu wa kujiamini,uroho wa mali na saa nyingine ni ufinyu wa fikra,cha muhimu ujiamini na umfanye Mwenyezi Mungu awe ni mlinzi wa masuala yote ktk maisha yako, na hata kama mtu akakuchezea basi Mungu atakufungua
 
Kweli mkuu haka kamchezo kapo saaaaaaaaaana
 
Ila kuna uwezekano usitoke kwani hawa jamaa, wanaijua saikolojia ya watu. Atakwambia mambo mpaka utaamini. Ila matokeo huyaoni! Haya mambo yako dunia ya kusadikika tuu.

Kawaulize wanaosafisha nyota za wajane kwa ngono. Watakwambia na utakubali kuwa nyota zinasafishika!! Au kawaulize wanaoua maalbino. Watakutajia matajiri wote unaowajua na watakwambia hao ni wateja wao na hivyo viungo vya Albino ndo vimewafanya matajiri. Unakubali kwa kuwa wanasema??
 
si mchezo nyamayao, haka kaishu kapo,kamchezo haka kapo tanga zaidi, dawa zipo na kweli zinafanya kazi ila kama walivyotangulia kusema wengine zina mwisho wake, hivyo siona umuhimu wa kutumia kitu kitakachokufanya uwe mnyonge na ufanyiwe unyonyaji na waganga, naona ni ukosefu wa kujiamini,uroho wa mali na saa nyingine ni ufinyu wa fikra,cha muhimu ujiamini na umfanye Mwenyezi Mungu awe ni mlinzi wa masuala yote ktk maisha yako, na hata kama mtu akakuchezea basi Mungu atakufungua

halafu kuna raha gani kuona/kujua mtu anaupenda coz umelazimisha iwe hivyo? mie ningependa mtu anipende kwa akili zake timamu.
 
halafu kuna raha gani kuona/kujua mtu anaupenda coz umelazimisha iwe hivyo? mie ningependa mtu anipende kwa akili zake timamu.
hamna raha yoyote ile kinachofanyika ni mtu kutimiza lengo lake, mfano kama kumfungulia biashara,kumjengea nyumba au yale mtu anayotaka kutokana na uwezo wake wa kufikiri,kwa wale wanaosema wanafanya hivyo tokana na mapenzi ya dhati ni uongo kwani hamna mtu asiyejua ubaya wa miziziology kwa mfanyiwa, wafanyaji always wanakua wameweka mahitaji yao mbele si kwa yule anayefanyiwa
 
halafu kuna raha gani kuona/kujua mtu anaupenda coz umelazimisha iwe hivyo? mie ningependa mtu anipende kwa akili zake timamu.

You are very right Nyamayao,kwa nini kuwe na forces za ajabu ajabu,mtu akupende akiwa timamu,
 
You are very right Nyamayao,kwa nini kuwe na forces za ajabu ajabu,mtu akupende akiwa timamu,

Na kawaida unaweza ukampenda sana mtu lakini yeye asikupende je hapo kuna haja ya kuongeza chumvi kidogo ili mtu akupende?
 
Na kawaida unaweza ukampenda sana mtu lakini yeye asikupende je hapo kuna haja ya kuongeza chumvi kidogo ili mtu akupende?

Hamna haja ya kuongeza, yaani kama sikupendi,sikupendi tu hata ukiongeza chumvi ni bure,maana hiyo chumvi yako inaweza kufanya kazi au isifanye kwa hiyo inakuwa haina maana.Ni vizuri kumpenda mtu anaekupenda,ukihisi yule unayempenda hakupendi mteme fasta.
 
Dawa za Miti shamba Haswa za Mizizi kweli zina Faida na zinawasaidia kwa hao watumiaji wa hizo Dawa Natowa Mfano kama wewe ni mume unataka mke wako Akupende ndani ya ndowa yenu kabla hujafanya Nae tendo la Mapenzi jaribu kusaga punje 3 za chumvi ya mawe na upate na asali ya nyuki safi kijiko kidogo unasaga pamoja na Punje 3 za hiyo chumvi ya mawe kwa nia yako ili mkeo akupende huku unasemma maneno ya mapenzi kwa (Unanuwia Wewe Chumvi au mkubwa wa jikoni (Fulani bint fulani) Anipende ninapokutana nae kimapenzi kama wewe Chumvi au Mkubwa wa jikoni unavyo pendwa na watu wote na Asali unanuia hivyo hivyo Wewe Asali kama unavyopendwa na watu na mimi nataka (Fulani Bint Fulani) Anipende kama unavyopendwa wewe) Unanuwia hivyo huku unachanganya hiyo Asali na Chumvi kwa pamoja na huku unasaga hiyo chumvi kwa kila punje unanuwia hivyo ukisha maliza jipake kwenye Utupu wako kisha nenda kafanye nae mke wako mapenzi atakupenda sana utashangaa wewe na utaona ajabu mno kwa mapenzi atakavyo kupenda na kwa mwanamke atafanya hivyo hivyo kama mwanamme alivyo fanya ila mwanamke atajipakaa sehemu yake ya siri kisha akutane na mume wako basi ataona ajabu jinsi Mume wake anavyompenda na huyo mwanamme wake kama alikuwa na tabia ya kutembea ovyo ovyo na wanawake wengine atacha kwa kumpenda Mke wake fanya hivyo kila Wiki mara moja Rudia mara 4 kisha wacha utaona ajabu mno. Hiyo ni mifano Dawa za Mitishamba au mizizi inavyo fanya kazi zipo Dawa za Aina nyingi sana za Namna hiyo ila nawashauri Tafadhali mtu asijaribu kumfanyia mke wa mtu akae akijuwa huyo mke wa mtu au mume wa mtu ataachika au ataacha mke kwa ajili kukupenda wewe uliye mfanyia hiyo dawa na utapata matatizo makubwa fanya kwa mume wako au mke wako hiyo ni kujaribu tu asanteni Wana Jf Wenzangu.
 
Ni kweli dawa zipo sana tu, na zingine anazo mwilini mwake , sehemu zake za siri ni dawa kubwa sana, ila kuna watu baadhi hawarogeki basi tu Mungu ndivo alivo waumba, yaani wenyewe ni dawa tosha kabisa!

Dawa ya mapenzi zina mwisho wake unatakiwa ku re-new, ili kuweka mambo sawa, wanawake wana akili sana sometimes anakufanyia kwa kipindi maalum ili achume pesa zako, ajenge nyumba yake anayoamini ni nzuri na itamsaidia, kumsomeshea watoto! hasa mtoto wa kiume mpaka afike Form six nk, mnaishi kwa mahesabu makali,

km jamaa mmoja Tajiri sana simtaji jina, alioa mke mlimbwata akamdunga miaka takribani 15 hivi jamaa kampa life siku ya kufa hata demu hakujali kuwa kuna mtu. cha msingi jiangalie wewe km wewe! heshimu watu!

Akisha timiza matakwa yake hayo hana haja ya ku re-new. na wewe umri umesonga sana labda miaka 65, je utaanza moja?

Siku ukilianzisha kwa sababu limbwata imeisha anaondoka Mazima wala harudi anaenda kuishi kwake, so long as wanae wanaenda chuo kikuu hata kaa arudi. sasa wewe kazi kwako uamue moja ufanye limbwata wewe ili arudi muishi salama au aende mazima. watoto na Mama ni km pua na hewa!
 
Demu wangu aliingia chumba cha pili kusalimia tu....basi akaambiwa ukitaka nyarusare atulie basi huyu bibi ni kiboko hashindwi kitu...wao walidhani niko nje kuuumbe niko upande wa pili wa chumba kile...nilicho kifanya nikaondoka humo chumbani kiufundi sana ili wasijue nimesikia....lkn nikaweka recording phone chini ya mto....kule nje nikawa naongea kwa nguvu ili wao waamini sijui kitu ivo waendelee kupinga story zao za kuniangamiza.bila kujua simu yangu inawarecord......pili nilitaka kujua km yule demu wangu atanambia alivyo danganywa na wale majirani......lkn km akikaa kimya ataenda kupewa dawa na yule bibi km alivo tambulishwa kwake....... Basi bana dem kapiga kimya.....nikajua tu huyu ataenda.......nilicho fanya na mimi nikamfuata bibi yuleyule mie ndo nilikuwa karibu na yule bibi kuliko huyo demu wangu... So nikamsimlia bibi anipe dawa hiyo ya mapenzi bila bibi kujua kuwa niliwahi sikia maongezi yao kuhusu mie!! ...kazi ikaanza eeee!!! banae...Duniani kuna mambo................
Km unasikia tu haya mambo jua wewe ni wa kuumia tu.hasa ukiwa dume kismart.....
 
Back
Top Bottom