Mithali 10:10...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
IMG_20170613_205357.png
 
Mkuu njoo utupe baraka zako kwenye jukwaa la burudani.
Tupo na mkuu iddy anashusha riwaya ya 'kikosi cha kisasi'...
Karibu sana mkuu.
Shukrani mkuu nitakuja ngoja niweke mambo sawa, usisahau kunitagi au kunipa link ya uzi husika
 
Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko;Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.
11 Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima;Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu,
12 Kuchukiana huondokesha fitina;Bali kupendana husitiri makosa yote.
13 Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu;Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.
14 Watu wenye akili huweka akiba ya maarifa;Bali kinywa cha mpumbavu ni uangamivu ulio karibu.
15 Mali ya mtu tajiri ni mji wake wa nguvu;Uangamivu wa maskini ni umaskini wao.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom