Mitego mahiri ya kunasa warembo

Date20210317

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
3,862
2,000
Inaonekana unawakamata makapuku sana ambao kwao wanakotoka njaa imetawala ndio maana wanaku desperate kutoa sex kisa kuja kupika pilau kuku ili nao wapate pa kula.
Pole sana.Kwa kifupi madem wa kimaskin kama hao kuwapata ni rahus sana hata ww unatumia njia ndefu na ngumu sanaa
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,271

Siwezi kutumia shida za mtu kwa ajili yakujinufaisha mi naabudu utu na ni MJAMAA og toka enzi za USSR so natafutana warembo walionona na waliojitosheleza Siri ya mafanikio jifanye fala tu ukileta ujuaji wa Kihaya utaishia kupasuka na nyapu hupati
 
Bila shaka hao ndo wale ma manzi ambao hata kwenye boda bida tu wanasinzia sasa siku wakipanda range ndo wanapelekwa I.C.U
 
uchumi2018

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
902
1,000
Kipindi hicho kuna jamaa tulikuwa tunaishi mtaa mmoja hatukuwa marafiki ila tulikuwa tunaonana Mara chache bas siku kaniona ananiambia naomba kesho uje unipikie maini na wali sijui kuyapika khaa nikamwambia poa bac kimoyomoyo nasema yani huyu hajui shule anayosoma Mimi ndio headmaster
Mkuu malizia story yako
tuone mwanafunzi wa headmaster alivyopandishwa cheo
na kuwa profesa wa chuo kikuu.
 
uchumi2018

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
902
1,000
Siwezi kutumia shida za mtu kwa ajili yakujinufaisha mi naabudu utu na ni MJAMAA og toka enzi za USSR so natafutana warembo walionona na waliojitosheleza Siri ya mafanikio jifanye fala tu ukileta ujuaji wa Kihaya utaishia kupasuka na nyapu hupati
Kutokana na maelezo haya nimeelewa ni kwa nini unabadilishana nyapu na kuku.
Huwezi kuwananga wahaya wakati mwanzilishi wa mtandao unaotumia kubeza
ni kabila hilo hilo.KAMA UNABISHA JIFANYE UNAJIKUNA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom