Mitego kwa wanandoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitego kwa wanandoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Arabela, Aug 7, 2012.

 1. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wana jf mfano me ni mwanandoa na nimejaliwa mtoto mmoja.. Ktk harakati za maisha nimepata kufahamiana na mwanamme flani lakini siku za karibuni ameanza kunitokea nimemuelewesha kwa kila namna haonyeshi dalili ya kuelewa au kukata tamaa. Je nimfanyeje?
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Watu wengine bwana, hata reasoning mnashindwa bila kujali umri, uzoefu, ndoa na hata mtoto? Kwahiyo unataka sababu ili umuonee huruma uanze uzinzi? Jiheshimu wewe dada achana na hiyo tabia chafu ya uzinzi.
   
 3. N

  Neylu JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sasa tukushauri nini na uko kwenye ndoa?? Kasome thread ya mtambuzi kuhusu jinsi ya kukabiliana na Usaliti katika mapenzi... Maana unavyoelekea unataka kusaliti ndoa yako..
   
 4. C

  CAY JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mambo mengine unayataka,keep distance na uache kumu-intertain!
   
 5. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  mpe gem mama na yeye afaidi we si mama huruma mhurumie na yeye lol
   
 6. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Mueleze mumeo (mshtaki kwa mumeo)!
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  msemee kwa mumeo
   
 8. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Shindwa!!!!
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Mpe onyo kali la mwisho na karipio kali,akizidisha mpambanishe na mumeo hatarudi tena!!akirudia tena ujue ameshakuona wewe ni dhaifu na muhuni!!kazi itakuwa kwako kumfukuza kabisa tena kwa lugha kali
   
 10. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  siko tayari kufanya uzinzi ningekuwa tayri ningekwishafanya na nisingekuwa na sababu ya kuomba ushauri. Nadhani umenielewa
   
 11. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ahsante kwa ushauri mwema hata me nlikuwa nafikiri hvyo
   
 12. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  me nko imara na nko tayari kufanya hivyo ili niepukane nalo kili tatizo
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Kama Kaoa Mwambie utamtokea wife wake, umemshirikisha Mume wako?


   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nyimamadogookumanga
   
 15. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  simple tu hapa, mkubalie afu mtonye mumeo muandae mtego wa kumdaka
  ile tu anaingia ktk chumba mvue nguo kwanza afu mzubaishe kwa muda vuta time mumeo ajongee
  itakuw afumanizi zuri na fundisho tosha ila msimdhuru kwa lolote
  ikiwezekana kama ni mtu mwenye fedha ndio njia nzuri ya kukabidhi mali zake
  akili kumkichwa mtaji huo.
   
 16. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nimeshaanza kumuepuka ila haelewi na ni sababu tunafanya kazi sehemu moja
   
 17. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  naomba userious me si mama huruma na sitegemei kuwa hivyo naomba tuheshimiane isiwe kuleta tatizo hapa ikawa ndio sababu ya kunitusi na kunidharau.. Mpk nimeleta tatizo hapa ni kwamba linanikwaza kama sio hivyo ningenyamaza tu.
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280


  Huu sio ushauri mzuri, labda ungekuwa na mantiki endapo tu huyo jamaa angekuwa walau anafahamiana na mume wako.
  Cha muhimu maneno na matendo yako yalingane, badala ya kuongea naye ukipigiwa simu, uwe unakata simu.
  Mara nyingine tamaa ya zinaa hukimbiwa hata vitabu vya Mungu hueleza hivyo ya kwamba "ikimbie zinaa...".
   
 19. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Hili halina haja ya kuomba ushauri maana linajitosheleza kabisa kumfanya awe grounded maisha yake yote.
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  eti nimfanyeje!! kweli ndio maana ndoa hazidumu siku hizi..yaani mke wa mtu anauliza afanyeje? haya mchukue mkafanye one night stand afu mwambie alichotaka amepata akuache sasa uendelee na ndoa yako.
   
Loading...