Mitaro yote iliyoko Dar es Salaam imekuwa ndiyo sehemu kuu ya kutupa takataka, na imekuwa source kubwa ya maradhi ya tumbo.kama hamna taka ngumu, kuna maji machafu ambaya hayatembei hivyo kuwa source kubwa ya mazalio ya Mbu aina yote.
Mimi naona hata strabag hawajakosea kujenga barabara bila mitaro, Kariaokoo msimbazi yote haifai.
Mimi naona hata strabag hawajakosea kujenga barabara bila mitaro, Kariaokoo msimbazi yote haifai.