Mitaro kandokando ya Barabara ni chanzo cha Maradhi

ngararumu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
469
250
Mitaro yote iliyoko Dar es Salaam imekuwa ndiyo sehemu kuu ya kutupa takataka, na imekuwa source kubwa ya maradhi ya tumbo.kama hamna taka ngumu, kuna maji machafu ambaya hayatembei hivyo kuwa source kubwa ya mazalio ya Mbu aina yote.mimi naona hata strabag hawajakosea kujenga barabara bila mitaro,Kariaokoo msimbazi yote haifai
 

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,507
2,000
anzia round about ya uhuru kuelekea msimbaz kaone maj na tope lilvyotuama,plus yale mashimo ya barabaran,watu awafany kaz zao,wapo wapo tu awajui wanachotakiwa kutenda,wana vita na machnga tu kat kat ya jij,ujenz wa majengo unaendelea huku maj hayana pa kwenda awajar,n aibu kubwa tukiwa na viongoz wanaopendeza kwa kuvaa sut,wakat mazingira yao n machafu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom