Mitandao ya simu, vinga'amuzi igeni Tanesco kwa faida ya umma, mawaziri na regulatory authorities tupeeni macho

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Kwa nini Kifurushi cha Muda wa Maongezi kiwe na life span time limit au kifurushi cha TV/Vinga'muzi viwe na life span time limit, yaani unalipia kingamuzi unasafiri say uko single unakaa nje muda unaisha unakuta pesa yako imekwisha na hujatumia, how is this possible and who made it possible? (likewise kwa vifurushi vya SIMU)

Ni wakati sasa tuachane na life span za calendar wiki, mwezi au siku, twende na TalkWeek, TalkDay, TalkMonth kwa simu na ViewWeek, ViewDay, au ViewMonth kwa TV/VING'AMUZI
Lifespan should be elastic and only depending on usage, the fast you chew your TalkDay or TalkHour the sooner your Air time should be finished and the slow you chew it the longer time it takes to survive.

TANESCO wako vizuri kwa hili, Kilowatt-Hour, Ukipenda Kilowatt-Day, Kilowatt-Week etc etc; Unanunua units zako no lifespan limits, ni namna unavyotumia tu ndio inaamua lini kifurushi husika kiishe.

Kazi Kwenu Mamlaka na Mawaziri husika;
PIGENI KAZI KUSAIDIA JITIHADA ZA JPM kumukomboa mnyonge katika makucha ya WABABE WA GAME.
 
Labda kwa simu naunga mkono, lakini kwa ving'amuzi, ukilipia king'amuzi leo ukiangalia vipindi vitatu vinne unaanza kuwa alerted kwamba salio lako linakaribia kuisha tofauti na sasa hivi ukilipa kwa mwezi hata ukeshe na TV na ushinde nayo ni hadi mwezi uishe ndipo unalipia tena.
 
FikiriKwanza hapa umeongea logic sana!
Unaambiwa kifurushi ni cha mwezi lakini out of blue kinakata hata mwezi haujaisha..
Au unaambiwa kuwa hicho kifurushi ni "Halichachi au Haliishi" lakini ghafli bin vuuuh... Ndugu mteja...
Unajaza kifurushi cha DSTV kile cha 169,000TZS alafu umeme ukate usikate, uwashe Tv usiwashe kinakwishney kabisa ..gete gete..!!
 
Kwa nini kishe wakati kuna siku labda haujawasha hicho king'amuzi..?
Ingefaa iwe basi mwezi wa matumizi na si calendar days..!!
Yaani king'amuzi kihesabu kabisa siku ulizowasha na kukitumia.. Sikifika 30 basi mwezi wa matumizi uwe umeisha..!!
Vinginevyo ni wizi mtupu!
 
1.Katika mfumo wa soko huria, mteja ni mfalme.

2. Mteja kuwa mfalme hakubadili sheria za uchumi. Kwa mfano, kama mashirika ya simu yanalipia ada za mwezi kupata huduma za kuwezesha huduma za simu, nayo hayana budi kutoza ada kwa mwezi. Nimefanya kazi na mashirika haya Tanzania, najua kuna vitu kama internet access, angalau enzi hizo nilizofanya kazi mimi, yalikuwa yanalipia kwa mwezi.Kampuni yangu ilikuwa inalipa $10,000 kwa mwezi, siku hizo za mwisho za karne iliyopita.

3. Kulipishwa kwa kitu ambacho hujatumia kwa kweli inaonekana kwamba si jambo la haki.

4. Katika mfumo wa soko huria, kero ya mteja kwa biashara ya sasa ni nafasi ya mfanyabiashara mwingine kumpata mteja huyo. Kuna nafasi ya wafanyabiashara kuanzisha kampuni za simu za kulipia kadiri unavyotumia. Mfano huu nimeuona Marekani, kuna kampuni kubwa kama Verizon, T-Mobile, Sprint zinalipisha kwa mwezi, halafu kuna kampuni kama Simple Mobile unalipa kadiri unavyotumia. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anapenda sana Simple Mobile, kwa sababu yeye alikuwa anasafiri sana kwenda Tanzania na kukaa miezi mingi, sasa akiwa na simu ya Simple Mobile analipia miezi anayotumia tu, akiwa na simu kama ya Verizon analipia kila mwezi, hata kama hatumii.

5. Mfanyabiashara atakayeanzisha mfumo wa kulipia kadiri unavyotumia simu Tanzania atapata wateja wengi sana, akiwa na uwezo mkubwa wa kiteknolojia anaweza kuwafunika sana wenzake kwenye ushindani wa biashara ya simu.
 
Kwa nini Kifurushi cha Muda wa Maongezi kiwe na life span time limit au kifurushi cha TV/Vinga'muzi viwe na life span time limit, yaani unalipia kingamuzi unasafiri say uko single unakaa nje muda unaisha unakuta pesa yako imekwisha na hujatumia, how is this possible and who made it possible? (likewise kwa vifurushi vya SIMU)

Ni wakati sasa tuachane na life span za calendar wiki, mwezi au siku, twende na TalkWeek, TalkDay, TalkMonth kwa simu na ViewWeek, ViewDay, au ViewMonth kwa TV/VING'AMUZI
Lifespan should be elastic and only depending on usage, the fast you chew your TalkDay or TalkHour the sooner your Air time should be finished and the slow you chew it the longer time it takes to survive.

TANESCO wako vizuri kwa hili, Kilowatt-Hour, Ukipenda Kilowatt-Day, Kilowatt-Week etc etc; Unanunua units zako no lifespan limits, ni namna unavyotumia tu ndio inaamua lini kifurushi husika kiishe.

Kazi Kwenu Mamlaka na Mawaziri husika;
PIGENI KAZI KUSAIDIA JITIHADA ZA JPM kumukomboa mnyonge katika makucha ya WABABE WA GAME.
Hili kwa kweli ndivyo inavyotakiwa,kuwapunguzia pressure wateja ya kumisiyuzi muda wa maongezi kwa kuhofia kuexpaya.
Pia naamni matumizi ya mtu yako palepale ,wataendelea kupiga faida ila kwa wateja itakua poa sana,mtandao utakaojaribu kufanya hivyo mapato yataongezeka walah
 
Hapo ndio wanatuibie uwe umesafiri nje ya nchi mbali kabisa na TV yako, mwezi ukiisha na hakuna mtu kaiwasha hata once etiiii ndio umeliwa hivyo

FikiriKwanza hapa umeongea logic sana!
Unaambiwa kifurushi ni cha mwezi lakini out of blue kinakata hata mwezi haujaisha..
Au unaambiwa kuwa hico kifurushi ni "Halichachi au Haliishi" lakini ghafli bin vuuuh... Ndugu mteja...
Unajaza kifusushi cha DSTV kile cha 169,000TZS alafu umeme ukate usikate, uwashe Tv usiwashe kinakwishney..!!
 
FikiriKwanza hapa umeongea logic sana!
Unaambiwa kifurushi ni cha mwezi lakini out of blue kinakata hata mwezi haujaisha..
Au unaambiwa kuwa hicho kifurushi ni "Halichachi au Haliishi" lakini ghafli bin vuuuh... Ndugu mteja...
Unajaza kifurushi cha DSTV kile cha 169,000TZS alafu umeme ukate usikate, uwashe Tv usiwashe kinakwishney kabisa ..gete gete..!!
Uonezi sana
 
Kwa nini Kifurushi cha Muda wa Maongezi kiwe na life span time limit au kifurushi cha TV/Vinga'muzi viwe na life span time limit, yaani unalipia kingamuzi unasafiri say uko single unakaa nje muda unaisha unakuta pesa yako imekwisha na hujatumia, how is this possible and who made it possible? (likewise kwa vifurushi vya SIMU)

Ni wakati sasa tuachane na life span za calendar wiki, mwezi au siku, twende na TalkWeek, TalkDay, TalkMonth kwa simu na ViewWeek, ViewDay, au ViewMonth kwa TV/VING'AMUZI
Lifespan should be elastic and only depending on usage, the fast you chew your TalkDay or TalkHour the sooner your Air time should be finished and the slow you chew it the longer time it takes to survive.

TANESCO wako vizuri kwa hili, Kilowatt-Hour, Ukipenda Kilowatt-Day, Kilowatt-Week etc etc; Unanunua units zako no lifespan limits, ni namna unavyotumia tu ndio inaamua lini kifurushi husika kiishe.

Kazi Kwenu Mamlaka na Mawaziri husika;
PIGENI KAZI KUSAIDIA JITIHADA ZA JPM kumukomboa mnyonge katika makucha ya WABABE WA GAME.
You are truly a Great Thinker.
 
You have spoken mkuu. Inabidi kuwe na namna mtu alipie matumizi yake sio vinginevyo au sio mtu alipie muda ambapo God Given

1.Katika mfumo wa soko huria, mteja ni mfalme.

2. Mteja kuwa mfalme hakubadili sheria za uchumi. Kwa mfano, kama mashirika ya simu yanalipia ada za mwezi kupata huduma za kuwezesha huduma za simu, nayo hayana budi kutoza ada kwa mwezi. Nimefanya kazi na mashirika haya Tanzania, najua kuna vitu kama internet access, angalau enzi hizo nilizofanya kazi mimi, yalikuwa yanalipia kwa mwezi.Kampuni yangu ilikuwa inalipa $10,000 kwa mwezi, siku hizo za mwisho za karne iliyopita.

3. Kulipishwa kwa kitu ambacho hujatumia kwa kweli inaonekana kwamba si jambo la haki.

4. Katika mfumo wa soko huria, kero ya mteja kwa biashara ya sasa ni nafasi ya mfanyabiashara mwingine kumpata mteja huyo. Kuna nafasi ya wafanyabiashara kuanzisha kampuni za simu za kulipia kadiri unavyotumia. Mfano huu nimeuona Marekani, kuna kampuni kubwa kama Verizon, T-Mobil, Sprint zinalipisha kwa mwezi, halafu kuna kampuni kama Simple Mobile unalipa kadiri unavyotumia. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anapenda sana Simple Mobile, kwa sababu yeye alikuwa anasafiri sana kwenda Tanzania na kukaa miezi mingi, sasa akiwa na simu ya Simple Mobile analipia miezi anayotumia tu, akiwa na simu kama ya Verizon analipia kila mwezi, hata kama hatumii.

5. Mfanyabiashara atakayeanzisha mfumo wa kulipia kadiri unavyotumia simu Tanzania atapata wateja wengi sana, akiwa na uwezo mkubwa wa kiteknolojia anaweza kuwafunika sana wenzake kwenye ushindani wa biashara ya simu.
 
Hiyo itakuwa nguvu sababu bado kipimo cha ujazo wa picha iliyofika kwako ni ngumu kujua mfano kwa umeme tunapima units, kwa simu tunapima dakika au data bytes

Nafikiri technolojia hiyo bado sana kwa upande wa tv
 
Back
Top Bottom