Naomba kama wapo watu huku wanaohusika na minara ya simu kwa kampuni yoyote ya simu mchukue kilio hiki sisi watu wa Dakawa development centre au kwa jina lingine kwenye kambi iliyokua ya wapigania uhuru wa Afrika ya kusini tuna tabu sana ya mtandao.
Eneo hili lina taasisi tano za serikali hapa kuna Chuo cha ualimu,Veta, Dakawa highschool, zahanati,shule ya msingi na shule ya sekondari lakini mtandao Wa simu ni shida. Idadi ya watu ni kubwa hapa lakini hakuna mnara Wa simu hats mmoja tunaomba sana kampuni yoyote ije iweke mnara huku ili kurahisisha mawasiliano