Mitandao ya simu ni majipu

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Kama wapo wanao husika wapeleke ujumbe aitel, ukikosea kutuma hela ukipiga simu hela hairudishwi, ushaidi ninao tena hasa ukiwa tigo unatuma aitel halafu ukosee utakesha aisee yaani hakuna cha masaa 72 .

Uwe voda unatuma aitel ukosee namba bahaati mbaayaa utaakeshaa ukisubiri pili mawakala wenyewe wa airtel commission zao viduchu mara wengine wapate, wengine wakose ni sheeder tu hao Tigo nao viwango vyao siku hizi za kutuma hela viko juu usipime.

Jaribu kuweka hela tigo halafu ukatoe uone hayo makato yao mh utalaani siku nzima ! Ila yote tisa aitel jipu tena jiipuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom